Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

Hizo habari zenu za kukamata wajinga msiwe mnazileta huku kwa great thinkers..

Mungu yupo.. lakini wewe na mwamposa wako ni matapeli kwasababu mnatumia jina la Mungu kufanya biashara ya maji na mafuta!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hahah hahah mbona mapovu sana ?
 
Hawa watu ni wapumbavu.
Alikuja tapeli Bushiri kabla hajamaliza kuhubiri MV . Nyerere ikaua mamia ya watu. Ikumbukwe Jana yake aliitabiria mema Tanzania.
Hawa watu Mungu hajawatuma
Acha kumsema vibaya nabii wa Bwana
 
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Mathayo 24:24
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Luka 13:25
Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako;

2 Wakorintho 11:13
Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.

Wafilipi 1:18
Yadhuru nini? Lakini kwa njia zote, ikiwa ni kwa hila, au ikiwa ni kwa kweli, Kristo anahubiriwa; na kwa hiyo nafurahi, naam, nami nitafurahi.
 
Muulize,we si ndio chawa mkuu. Nabii akakimbia eneo la tukio usiku usiku bila aibu yani badala abaki kusaidia waumini wake. Bado wewe siku akikukimbia utaelewa
Haki hii comments imenifanya nicheke🤣
 
Yesu anasema watakuja manabii wa uongo sio atakuja nabii wa uongo ina maana ni wengi akili kichwan[emoji23]
 
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.

Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.

Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue, vipi wafe wagu 20?

Maneno yenu wapinga Kristo hayana cha kumfanya Mwamposa.
Pole sana,umekosa jicho la rohoni!
 
Back
Top Bottom