Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Kama wapo anaowaponya wakienda kusali/kuombewa kwake, kwanini viwete na walemavu wengine bado wamejazana mjini au baada ya kufanikiwa siku hizi hapiti tena mjini akawaona na kuwaponya?
 
Paul aliandika yaliyokuwepo , Yani kilikuwa na manabii sio watakuja manabii,

Baada ya Yesu ni mitume, wachungaji, wainjilisti , mapadre n.k hakuna nabii
ufunuo wa Yohana tutasemaje maana Yesu alishapaa ila Yohana yeye anatoa unabii wa mambo yajayo.
 
Kama wapo anaowaponya wakienda kusali/kuombewa kwake, kwanini viwete na walemavu wengine bado wamejazana mjini au baada ya kufanikiwa siku hizi hapiti tena mjini akawaona na kuwaponya?
kama huamini achana nayo,amini unavyoona wewee maana mwisho wa siku hii ni imani kila mtu anaamini anachojua yeye
 
Ajabu ni kwamba ni vitu vilivyo kwenye uhalisia wa maisha ya watu.
Utajuaje huu ni uhalisia na sio umechezwa mind illusion?

Humu humu nawashuhudia nyinyi kwa nyinyi mkibishana, wengine wanasema ni real na wengine wanabisha kuwa ni uongo

Na wewe nimekuona ukibisha tena kwa kutoa na mifano kabisa kuonesha sio kweli hayo madai

Sasa kama ni uhisia kwanini wenyewe kwa wenyewe mmeingia kwenye mzozo mkipingana juu ya habari hizo?

Kati ya wewe na hao wengine, yupi anazungumza uhalisia na yupi ni muongo?
 
Kama wapo anaowaponya wakienda kusali/kuombewa kwake, kwanini viwete na walemavu wengine bado wamejazana mjini au baada ya kufanikiwa siku hizi hapiti tena mjini akawaona na kuwaponya?
Imani, Imani, Imani.....!

Mbona mtoa mada kaelezea vizuri tu....!
Kama uko na Negative mind na hoja yako ilishajibiwa kabla hujaulizwa swali.... Unasoma tu comments ...
 
Wakala mwamposa hadi jf?
 
Kaka angu alikuwa mfanya biashara mkubwa tu pale morogoro akaja kupata mwanamke anaemuamini uyo mwamposa tulimuonya sana aachane na hizo habari lakni kwa sasa anahali mbaya sana kiuchumi pesa alikuwa anapeleka kw mposa km fungu la kumi na bado hapo hapo kununua hayo maji na mafuta day after day alikuwa mtumwa wakuamini kila kitu ni shiriki tu na hivi sasa hata hela yakula tunamchangia.
 
Nguvu ya Mungu ipo na inatenda
 
Ni kwamba kuna wanaoona wanachofanya hao manabii ni nguvu kutoka kwa MUNGU na wengine huona ni UCHAWI na si nguvu kutoka kwa Mungu, kwahiyo hayo makundi mawili hukubaliana kuwepo miujiza na kwamba kuna Mungu na pia uchawi upo na ndio maana wanabishana mitazamo kwenye chanzo cha nguvu ya hiyo miujiza kutoka kwa hao manabii kwamba ni kutoka kwa Mungu au Uchawi.
Ila pamoja na hayo pia ipo hoja ya kwamba hao manabii wakati mwengine wanafoji tu shuhuda za miujiza kwa maana haikufanyika hiyo miujiza au wanaigiza tu kwa kuonesha muujiza fulani kumbe maigizo tu ili kuwaaminisha watu.

Msimamo wangu binafsi katika hili ni kwamba hawa manabii hutumia uchawi na pia wakati mwengine hubuni shuhuda za uongo au kufanya maigizo tu na kudanganya ni miujiza.
 
Ending of ur thinking capacity🛇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…