Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

Paul alifundisha yaliyokwisha fanyika
 
Ndio hakuna nabii baada ya yesu yote yalikamilika hakuna habari mpya ya yajayo , Yesu pale msalabani alisema imekwisha hii alikamilisha unabii na kusema el el lama sabachthani aya maneno aliyatamka kukamilisha unabii ulioandikwa
Paulo amekuja baada ya YESU na kupitia barua aliyowaandika 1 wakorintho 12: 4-11 amesema unabii ni karama mojawapo kumbe unabishana na biblia Tena kumbe napoteza mda
 
Mwamposa siyo Nabii. Yeye ni mtume, kwa maana ni mtu aliyeitwa kwa kazi ya kueneza neno la Mungu kwa watu wote wenye dini na wasio na dini. Na msingi wake mkuu wa mafundisho yake ni Biblia.

Pia huwaombea wote waĺiozongwa na "giza" ili wawe "mwanga" tele.
Giza = magonjwa, mapepo, kutofanikiwa, umasikini, ulevi, laana, huzuni, kilio, chuma ulete n.k.
Mwanga (nuru) = Afya, furaha, utajiri, roho ya kumjua na kumpenda Mungu, mafanikio, familia bora, uzao n.k.
 
Paulo amekuja baada ya YESU na kupitia barua aliyowaandika 1 wakorintho 12: 4-11 amesema unabii ni karama mojawapo kumbe unabishana na biblia Tena kumbe napoteza mda
Paul aliandika yaliyokuwepo , Yani kilikuwa na manabii sio watakuja manabii,

Baada ya Yesu ni mitume, wachungaji, wainjilisti , mapadre n.k hakuna nabii
 
Paul aliandika yaliyokuwepo , Yani kilikuwa na manabii sio watakuja manabii,

Baada ya Yesu ni mitume, wachungaji, wainjilisti , mapadre n.k hakuna nabii
Niletee mstari kwenye biblia unaosema kutakua na mapadre
 
Sawa. Peleka sadaka, matoleo, mbegu ya kupanda na ada ya maji ya upako
 
Leta kitabu Cha nabii baada ya yesu tusome unabii wake
Hujui biblia kasome kwanza biblia unaletewa mistari kwenye biblia unabaki unashangaa shangaa unaambiwa leta mistari kussuport unachosema huna Sasa sikupoteza mda tusichoshane hujui biblia na husomagi biblia huo ndo ukweli
 
Leta kitabu Cha nabii wako tukisome , mbona rahisi sana, alafu useme kwenye biblia kiweke wapi
 
Alafu nabii anakanisa ? Yupo na biblia anasoma unabii wakina yeremia 😂😂😂😂
Samweli alifanya kazi (ikiwemo unabii) iliyomshinda Eli, Elisha alimalizia kazi ya eliya kupitia unabii, same kwa yeremia alitilia mkazo unabii karibu wote alioua
sema isaya na huu ni uthibitisho mwingine hujui biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…