Mwamposa: End of an Era au mwanzo wa michezo michafu?

Kitendo cha kuanza ujinga eti anakuombea unapokea hela kwenye simu bila kujua imetoka wapi hakika nakuunga mkono kabisa!!
Hili nalo lilikuwa tatizo kubwa zaidi.

Hakuna muujiza kama ule maishani.
 
Hivi kakobe alipotelea wapi?
 
Dunia ni uwanja wa vita, maisha ni akili na usanii, na huu ni msimu wake, atapita watakuja wengine kama kwa wengine ilivyokuwa.
Muhimu ni pato liingie
 
Baasiiiiii umemaliza
Mi na wewe tuna mtazamo same same hapa tunajiuliza na kujijibu wenyewe ilifaa tupate mtu aliekinyume na sisi ili mjadala unoge
Hakuna wakujibu mama yoyo.
We tumia kichwa chako kuishi uwezavo.
Kama unaogopa kuwa ukifa wachungaji hawatakuja kukuzika kisa ulikuwa huhudhurii misa basi ungana nao.
Ila kumbuka hakuna maiti haijafukiwa kisa mchungaji hajaja utazikwa hata na manispaa.
 
Amechoka kula hela za wajinga.
 
Hilo swala la kifo ndio kabisa sijali watachagua wanizike au mzoga uwanukie
 
Mara pesa zimeingia kwenye simu hawajui nani katuma yaani upuuzi upuuzi tuu
 
mitume inatoka middle east tu...tangu lini mnyakyusa akawa mtume!
 
Hebu tumuombe marehemu Morris Nyanyusa na ngoma zake 12 aje atueleze hindi alivyonusurika kuponywa pale Temeke miaka ile kati ya 70's na 80's, yule mpangaji mkuu enzi zile Mungu amlaani.
Kurudi kwa hili li Mwamposa, hakuna ushahidi wa majirani zetu watanzania kuponywa, wote wanaoponywa hawaishi mitaani kwetu, sijui labda wanatoka mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…