Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

Ingetosha sana kupita bila ku comment na kunitukana kimya kimya, kuliko kuandika juu ya Imani ya mtu. Sijajua Dini yako lakini kama humwamini Mungu nitakuelewa ila Kama kweli unaamini Kuna Mungu basi yawezekana Kuna ulakini kwenye kichwa chako.

Sikia, Ibada ni mazungumzo binafsi kati ya mwanadamu na Mungu anayemwamini. Madhabahu ni sehemu ambayo watu hukutana pamoja ili kuongea na Mungu kwa namna ya kumsifu, kueleza shida zako, kuomba toba na kadharika.

Pale kawe kwa mtumishi wa Mungu mwamposa hatuendi kumwabudu mwamposa na hata yeye mwenyewe Huwa anasema ukiyendewa jua kwamba umetendewa na Mungu na sio yeye.

Yawezekana wewe ni mtu clever na mwenye Maisha, pesa, elimu, madaraka pamoja nguvu ya akili kushinda watu zaidi ya elfu 20 wanaohudhuria madhabahu ya Arise and Shine Kila jumapili.

Yawezekana wewe ukawa na utashi sana na hekima zaidi ya watu waliompa vibali vya kuendesha madhabahu Ile kwa misingi ya Sheria na taratibu za nchi.

Yawezekana wewe ukawa unamshinda Kila kitu Mwamposa aliyopewa maono ya kuanzisha madhabahu Ile na kuhubiri neno la Mungu kwa zaidi ya miaka 25, tokea Kilimanjaro, Mombasa, Arusha, Mbeya na sasa Ameweka makazi rasmi DSM.

Fine! Mimi nasema Ahsante kwa maneno mazuri ila yenye ukakasi juu ya Imani yangu ya kuongea na Mungu kwa kupitia madhabahu ya Arise and Shine.

Uendelee kupata hekima zaidi ya Kumwabudu Mungu wako kwa Imani yako na Kupitia maneno uliyoyasema hapo juu basi Mungu mkuu ndiye anajua kipi Cha kufanya juu yako.

Mimi binafsi sikujui ila nakuweka kwenye maombi, upate Hekima na Busara juu ya kuwaongelea vibaya watumishi wa Mungu.

Ubarikiwe chief.
Kinachonikera na hao mitume sijui manabii ni kuwadanganya Waamini kuhusu mafuta ya upako, maji ya upako, kiatu cha upako, fimbo za upako n.k. Mungu huyu mnamchanganya sana nyie watu! Yesu wetu alikuwa Yesu wa mateso na siyo Yesu wa miujiza! Kote huko mnaandamana kwa kufuata miujiza!
 
😁Mbuzi wahuni sana.

Waumini wangeitwa mbuzi makanisa yangeshafungwa muda mrefu
Mbuzi wanajichunga wenyewe, niliona safari moja mbuzi kafungiwa juu ya lori katulia hatikisiki anajua akizingua anakufa..!!

Angekua kondoo angeshadondoka kitambo..!! 😹😹
 
Mtumishi wa Mungu bulldoza kajenga kanisa wapi ? Ila ana pisi Kali duuh 🤔 😎
 
Sasa
Ingetosha sana kupita bila ku comment na kunitukana kimya kimya, kuliko kuandika juu ya Imani ya mtu. Sijajua Dini yako lakini kama humwamini Mungu nitakuelewa ila Kama kweli unaamini Kuna Mungu basi yawezekana Kuna ulakini kwenye kichwa chako.

Sikia, Ibada ni mazungumzo binafsi kati ya mwanadamu na Mungu anayemwamini. Madhabahu ni sehemu ambayo watu hukutana pamoja ili kuongea na Mungu kwa namna ya kumsifu, kueleza shida zako, kuomba toba na kadharika.

Pale kawe kwa mtumishi wa Mungu mwamposa hatuendi kumwabudu mwamposa na hata yeye mwenyewe Huwa anasema ukiyendewa jua kwamba umetendewa na Mungu na sio yeye.

Yawezekana wewe ni mtu clever na mwenye Maisha, pesa, elimu, madaraka pamoja nguvu ya akili kushinda watu zaidi ya elfu 20 wanaohudhuria madhabahu ya Arise and Shine Kila jumapili.

Yawezekana wewe ukawa na utashi sana na hekima zaidi ya watu waliompa vibali vya kuendesha madhabahu Ile kwa misingi ya Sheria na taratibu za nchi.

Yawezekana wewe ukawa unamshinda Kila kitu Mwamposa aliyopewa maono ya kuanzisha madhabahu Ile na kuhubiri neno la Mungu kwa zaidi ya miaka 25, tokea Kilimanjaro, Mombasa, Arusha, Mbeya na sasa Ameweka makazi rasmi DSM.

Fine! Mimi nasema Ahsante kwa maneno mazuri ila yenye ukakasi juu ya Imani yangu ya kuongea na Mungu kwa kupitia madhabahu ya Arise and Shine.

Uendelee kupata hekima zaidi ya Kumwabudu Mungu wako kwa Imani yako na Kupitia maneno uliyoyasema hapo juu basi Mungu mkuu ndiye anajua kipi Cha kufanya juu yako.

Mimi binafsi sikujui ila nakuweka kwenye maombi, upate Hekima na Busara juu ya kuwaongelea vibaya watumishi wa Mungu.

Ubarikiwe chief.
Sasa kwa miaka yote hiyo unayomwabudu Mwamposa unepata mafanikio gani?
 
Mbuzi wanajichunga wenyewe, niliona safari moja mbuzi kafungiwa juu ya lori katulia hatikisiki anajua akizingua anakufa..!!

Angekua kondoo angeshadondoka kitambo..!! 😹😹
😁😁Mikondoo na ming'ombe ndo huwa mitaahira, mbuzi huwa wanafanya reasoning japo yana mwonekano wao wa kibwege😁
 
Back
Top Bottom