Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

Heri ya pasaka.

Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka.

Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu anaonekana.

Endelea kushika Maisha ya watu kiroho, umekuwa suluhisho la mambo ya kiroho kwa watu wengi sana ndani na nnje ya nchi.

Hongera sana Mwamposa, Mungu azidi kukuinua Baba.

NB: Kuna kazi za kujitolea zinaendelea pale natoa wito kwa kijana yeyote kama una muda uko empty na huna Cha kufanya acha kukaa kijiweni twenzetu pale hata tukafagie tu, Itakuwa ni sehemu ya mchango wako katika ujenzi wa nyumba ya Bwana na utabarikiwa beyond borders, Chukua hatua ya Imani

Nawasilisha.
Cash cows katika ubora wenu...hakika mimi siamini lolote kutoka kinywa cha mdomo wa mtu mweusi.
 
Sasa

Sasa kwa miaka yote hiyo unayomwabudu Mwamposa unepata mafanikio gani?
Soma vizuri then uliza tena, namwabudu Mungu kupitia madhabahu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu mwamposa.

Nimesema Huduma yake ipo zaidi ya miaka 25, Historia inajieleza.
 
Pale kawe kwa mtumishi wa Mungu mwamposa hatuendi kumwabudu mwamposa na hata yeye mwenyewe Huwa anasema ukiyendewa jua kwamba umetendewa na Mungu na sio yeye.
Kuna Ndugu yangu kapoteza Million 2 na point kadhaa mpaka sasa hapo kwa Mwaposa na hakuna cha maana anachokipata hivi mnatumia uchawi gani nyie mambwiga kuwaroga watu wawaletee hela na kuwauzia mafuta na maaji nyie mnafaidika wao wanaporomoka zaidi mnatumia nini? Na mbaya zaidi mtu anaona kaabisa ameumizwa ila still bado tu anakazana kuja kutoa hela wakati hapati kitu ni maluweluwe tu km anacheza Dubwi vile
 
😁😁Mikondoo na ming'ombe ndo huwa mitaahira, mbuzi huwa huwa wanafanya reasoning japo yana mwonekano wao wa kibwege😁
Mbuzi hao wanashangaa ajali nao 😹😹
 
Attachments

  • IMG_4922.jpeg
    IMG_4922.jpeg
    104.6 KB · Views: 17
Endeleeni kumtolea, toeni zaka, mafungu ya 10, sadaka za kujimaliza, nunuenj upako+mafuta ya miujiza na kila ibada zake msikose then end of days mwenzenu katajirisha mpaka kizazi chake cha 5 wakati huo ninyi makondoo wake kwaachia ufukara, umasikini na kawaachia vijimistari vya uongo ktk biblia ili kuwahadaa na kuwatia moyo msishitukie deal.

Wafia dini amkeni mtatapeliwa mpaka lini? Kusoma hizo biblia kwa ufahamu hamtaki basi hata macho ya kutafakari hamna?
Kama unafikiri kudanganya watu zaidi ya makumi elf na wakakutajirisha Basi jaribu Brother.

Kama ingekua hivyo basi wengi wangetajirika.

Hata Yesu Aliitwa Tapeli Brother.

Nakushauri Uwe mwangalifu na Mdomo wako kaka.

Mungu Hadhiakiwi siku yakikufika ndio Utajua umuhimu wa watumishi wa Mungu Brother.
 
Soma vizuri then uliza tena, namwabudu Mungu kupitia madhabahu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu mwamposa.

Nimesema Huduma yake ipo zaidi ya miaka 25, Historia inajieleza.
Yaani nyinyi ni BRAINWASHED kabisa. Eti madhababu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu!! Mwamposa ana Mungu gani?? Ushetani mtupu unaendelea pale!!

Amewafanyia ushirikina na hamuwezi kuchomoka. Mtaenselea khnujua maji na mafuta tu kumtajirisha.
 
Kama kuna uhakika wa wateja kwanini usitanue biashara yako....??

Ni hesabu nyepesi sana ya kibiashara
 
Yaani nyinyi ni BRAINWASHED kabisa. Eti madhababu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu!! Mwamposa ana Mungu gani?? Ushetani mtupu unaendelea pale!!

Amewafanyia ushirikina na hamuwezi kuchomoka. Mtaenselea khnujua maji na mafuta tu kumtajirisha.
Wapo sahihi maadamu hawavunji Sheria ya nchi,kama sisi tunaopishana kwenye vijumba vya nyasi tuna tofauti gani.
Mambo ya Iman yote ufanana labda usiwe mfuasi
 
Kuna Ndugu yangu kapoteza Million 2 na point kadhaa mpaka sasa hapo kwa Mwaposa na hakuna cha maana anachokipata hivi mnatumia uchawi gani nyie mambwiga kuwaroga watu wawaletee hela na kuwauzia mafuta na maaji nyie mnafaidika wao wanaporomoka zaidi mnatumia nini? Na mbaya zaidi mtu anaona kaabisa ameumizwa ila still bado tu anakazana kuja kutoa hela wakati hapati kitu ni maluweluwe tu km anacheza Dubwi vile
Kapotezaje hizo mil 2. Acheni kuchafua watu jamani mwamposa hajawahi kusema Kuna sadaka ya mil 2 hata siku Moja.

Tembea na imani Kwanza, njoo kanisani fuata maelekezo ya mtumishi wa Mungu, nunua mafuta kwa buku tu, nunua maji kwa buku tu nenda nyumbani, tumia vifaa hv kwa Imani huku ukisoma biblia na kusikiliza neno la Mungu.

Toa sadaka yako kadri ya uwezo wako. Mungu lazima akuone.
 
Heri ya pasaka.

Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka.

Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu anaonekana.

Endelea kushika Maisha ya watu kiroho, umekuwa suluhisho la mambo ya kiroho kwa watu wengi sana ndani na nnje ya nchi.

Hongera sana Mwamposa, Mungu azidi kukuinua Baba.

NB: Kuna kazi za kujitolea zinaendelea pale natoa wito kwa kijana yeyote kama una muda uko empty na huna Cha kufanya acha kukaa kijiweni twenzetu pale hata tukafagie tu, Itakuwa ni sehemu ya mchango wako katika ujenzi wa nyumba ya Bwana na utabarikiwa beyond borders, Chukua hatua ya Imani

Nawasilisha.
Fahari ya macho na fahari ya ROHO vina tofauti kubwa sana
 
Jesho utumia tofari na msingi wa zege lile ni banda tena rakuhamishika mda wwte
 
Kama unafikiri kudanganya watu zaidi ya makumi elf na wakakutajirisha Basi jaribu Brother.

Kama ingekua hivyo basi wengi wangetajirika.

Hata Yesu Aliitwa Tapeli Brother.

Nakushauri Uwe mwangalifu na Mdomo wako kaka.

Mungu Hadhiakiwi siku yakikufika ndio Utajua umuhimu wa watumishi wa Mungu Brother.
Mwamposa anatumia uchawi
 
Back
Top Bottom