Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

Cash cows katika ubora wenu...hakika mimi siamini lolote kutoka kinywa cha mdomo wa mtu mweusi.
 
Sasa

Sasa kwa miaka yote hiyo unayomwabudu Mwamposa unepata mafanikio gani?
Soma vizuri then uliza tena, namwabudu Mungu kupitia madhabahu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu mwamposa.

Nimesema Huduma yake ipo zaidi ya miaka 25, Historia inajieleza.
 
Pale kawe kwa mtumishi wa Mungu mwamposa hatuendi kumwabudu mwamposa na hata yeye mwenyewe Huwa anasema ukiyendewa jua kwamba umetendewa na Mungu na sio yeye.
Kuna Ndugu yangu kapoteza Million 2 na point kadhaa mpaka sasa hapo kwa Mwaposa na hakuna cha maana anachokipata hivi mnatumia uchawi gani nyie mambwiga kuwaroga watu wawaletee hela na kuwauzia mafuta na maaji nyie mnafaidika wao wanaporomoka zaidi mnatumia nini? Na mbaya zaidi mtu anaona kaabisa ameumizwa ila still bado tu anakazana kuja kutoa hela wakati hapati kitu ni maluweluwe tu km anacheza Dubwi vile
 
Kama unafikiri kudanganya watu zaidi ya makumi elf na wakakutajirisha Basi jaribu Brother.

Kama ingekua hivyo basi wengi wangetajirika.

Hata Yesu Aliitwa Tapeli Brother.

Nakushauri Uwe mwangalifu na Mdomo wako kaka.

Mungu Hadhiakiwi siku yakikufika ndio Utajua umuhimu wa watumishi wa Mungu Brother.
 
Soma vizuri then uliza tena, namwabudu Mungu kupitia madhabahu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu mwamposa.

Nimesema Huduma yake ipo zaidi ya miaka 25, Historia inajieleza.
Yaani nyinyi ni BRAINWASHED kabisa. Eti madhababu ya Arise and Shine chini ya mtumishi wa Mungu!! Mwamposa ana Mungu gani?? Ushetani mtupu unaendelea pale!!

Amewafanyia ushirikina na hamuwezi kuchomoka. Mtaenselea khnujua maji na mafuta tu kumtajirisha.
 
Kama kuna uhakika wa wateja kwanini usitanue biashara yako....??

Ni hesabu nyepesi sana ya kibiashara
 
Wapo sahihi maadamu hawavunji Sheria ya nchi,kama sisi tunaopishana kwenye vijumba vya nyasi tuna tofauti gani.
Mambo ya Iman yote ufanana labda usiwe mfuasi
 
Kapotezaje hizo mil 2. Acheni kuchafua watu jamani mwamposa hajawahi kusema Kuna sadaka ya mil 2 hata siku Moja.

Tembea na imani Kwanza, njoo kanisani fuata maelekezo ya mtumishi wa Mungu, nunua mafuta kwa buku tu, nunua maji kwa buku tu nenda nyumbani, tumia vifaa hv kwa Imani huku ukisoma biblia na kusikiliza neno la Mungu.

Toa sadaka yako kadri ya uwezo wako. Mungu lazima akuone.
 
Fahari ya macho na fahari ya ROHO vina tofauti kubwa sana
 
Jesho utumia tofari na msingi wa zege lile ni banda tena rakuhamishika mda wwte
 
Mwamposa anatumia uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…