Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

Hii inataka mtu mwenye akili kubwa kama wewe kutambua. Kongole Mpwa
 
Inamaana unamfatilia Sana bulldozer au nimuite cherehani wa kawe aje akukate vidole tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] eti sauti yako mbaya ya mkwaruzo inamaaana unamfatilia mno ze bulldozer

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sikuhizi hadi KKKT na katoriki huko et kuna yale mahubiri ya kufoka foka.Nilienda wiki flani nikakuta hivyo,nikasema wajinga hawa wataniona tena.Acha nibaki na dini yangu ambayo ni matendo na upendo wangu.
Usiwe mjingaaa kijana nenda kanisani siyo lzm uende usharika wako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Namshukuru Mungu..... Namshukuru Bwana...ambao hata hivyo huwa unauharibu kwa Sauti yako mbaya ya Mkwaruzano.
Umetiririka vizuri mwanzoni ila umeharibu kwenye red

Huo wimbo hakuimbii wewe anamuimbia Mungu, anayeimbiwa ndiye mwenye kutolea tamko
 
Wewe jamaa ni shoga unapenda sana kufuatilia maisha ya wanaume, unapenda kuzusha uongo, mwaka jana ulipigwa pumbu coco beach kwasabab ya kujipendekeza kwa wanaume... Safar hii utabadirisha ID utaweka hadi jina la bibi yako
 
Aisee hawa jamaa utadhani sana dawa, wafuasi wao huwaambii kitu, alafu wanakujaga kwa misimu, waumini wakiskia mpya katoka ana miujiza mipyamipya wanahamia kwake.
 
Naona umeenda kwa Mwamposa akakurudishie sikio alilokata Bwana Cherehani.
 
Aseh huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kuna siku nimeona kabisa hawa jamaa kina mwamposa ni wapigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo waliweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani,jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi,,mpaka sasa amefanikiwa kujenga,kununua pikipiki na kafungua biashara....anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akkamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari

Hela zote hajui zinatoka wapi.......


Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Na kama kuna muujiza kama huo hebu na mimi unitembelee[emoji1787]
 
Kumbe mnamfutiliaga ibada, ni vizuri huwezi kukosa ujumbe wowote hata kama anayoyafanya
 
CHUKI BINAFSI BY TWANGA PEPETA
ELIMU YA MJINGA NI MAJUNGU BY TOT


KIKUBWA ULISHIRIKI IBADA HATUA KWA HATUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…