Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

Matendo ya Mitume 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁶ Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
⁷ Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.
⁸ Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.
⁹ Watu wote wakamwona akienda, akimsifu Mungu.
¹⁰ Wakamtambua, ya kuwa yeye ndiye aliyekuwa akiketi na kuomba sadaka penye mlango Mzuri wa hekalu; wakajaa ushangao wakastaajabia mambo yale yaliyompata.
"Petro na Mitume wengine Waliponya Kwa Jina la Yesu na Si Kwa Maji na Mafuta ya Upako." Yanayopelekea Watu kutoa Viumbe hai Mwilini mwao. Eg Nyoka, Mjusi, tandu, Kobe,mdudu, Jongoo na wakati mwingine Hirizi.
 
🇹🇿 👁️ Tumshuru mungu kwa vyote jamani.

Uhuru was kuabudu wandugu.
 
Ila yote kwa yote mimi nilipona pale na Mwamposa anamafundisho mazuri
 
Kuna dada alisema kapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu na hakukutana na mwanaume tokea waachane na mumewe miaka 4 nyuma sababu hakua anazaa..................aposto ikabidi alikatae hilo maana watu walianza kuguna[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unamfuatilia sana Mwamposa japo humpendi. Unajua mtu kuwa mahututi inategemea na msimuliaji anavyosimulia na mara nyingi mtu akiwa mbele ya atu kama sio mzoefu anaweza kujichanganya sana... niliwahi kuona clip moja kaka mmoja aliambiwa ajitambulishe mbele ya ukumbi akajichanganya akasema yeye ni kaka wa Mareheme badala ya kusema kaka wa Bi harusi
 
Na kweli umepikwa na kuiva!
 
Kwa taarifa yako Mwamposa halipi kodi. Yeye kama kanisa/NGO hatoi hata senti tano. Kodi anayolipa ni ile iliyo kwenye bidhaa za matumizi ya kila siku ambayo mtu huanza kulipa siku ya kuzaliwa na kukoma kuilipa baada ya kufa na gharama za mazishi (sanda au/na sanduku) kulipiwa.
 
Aisee shuhuda zinazoniachaga hoi ni zile za Kuhani Musa. Too childish and obvious.
 
Hadi ww ni mjinga pia?
 
Yaani hawataki hata kuelewa mtu akijiita mtume anakua na sifa zipi sema ndo hivyo mkuu mambo ya IMANI huwezi kumtoa mtu KWA mwamposa ety umwambie mwamposa tapeli atakuona ni kichaa umechanganyikiwa kila mtu anaamini anvyoamini
Siwezi na sitokaa niamini huu upuuzi!
 
Lini ilikuwa hii scene?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…