Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali tukikojoa tu hapo hapo zinashika.

Ukiambiwa umalize mapema Ibada zako ili uwaokoe Waumini wako na shida ya Usafiri hutaki na unadai kuwa utamaliza Ibada muda wowote kulingana na vile Roho Mtakafifu anavyokuongoza.

Mwamposa unashindwa nini tu Kuzungumza na Wamiliki wa Daladala na muweke Utaratibu wa kuandaa Mabasi ya Kutosha hata kama Nauli ikiwa ni Tsh 1,000/= tu ila yawe ni mengi na yapaki kwa ndani Tanganyika Packers na yawe yanabeba vizuri na Kiusalama zaidi Waumini wako uliowaaminisha hata visivyowezekanika?

Hivi Mwamposa unajua kuwa kwa Kuchelewa Kwako Kumaliza Ibada zako kumepelekea Wake na Wachumba za Watu Kupigwa na hata Kuachika kutokana tu na Kuchelewa kurejea Makwao?

Achilia mbali kulalwa hovyo na Kuporwa (Kuibiwa) sana kutokana na Kukosa Usafiri, Nauli ila wengine (tena wengi tu) huwa wanakuwa na Njaa sana wakitoka Ibadani Kwako utadhani Maombi yako huwa yanamaliza Viporo vyao vyote vilivyomo Matumboni mwao kiasi kwamba hapa Mafisi ndipo huwa tunapata Advantage ya Kuwalala Usiku Kucha na Asubuhi tunawaaga kuwa Waende Makwao kwa Amani ya Shetani kutokana na Ujuha na Uzembe Wao.

Tafuta upesi sana Suluhisho la Adha ya Usafiri kwa Waumini wako ila jitahidi mno uwe unamaliza Ibada zako Saa 12 Kamili ili basi angalau hadi kufikia Saa 2 au Saa 3 wote wawe wameshafika Makwao.

Nitashukuru sana ukilifanyia Kazi hili.
 
Hakika kuna kizazi kitakuja kumuongelea vibaya sana huyu bwana huko mbeleni pindi wakipata uelewa wao binafsi.

Juzi nimekutana na msululu wa watoto maeneo ya kinondoni wanapiga kwata kutokea huko kawe sasa sijui wanaelekea mbagala wale na hivi dar imejaa mataa taa kila hatua wala hawajali huo umbali wanaoutembea.
 
Hakika kuna kizazi kitakuja kumuongelea vibaya sana huyu bwana huko mbeleni pindi wakipata uelewa wao binafsi.

Juzi nimekutana na msululu wa watoto maeneo ya kinondoni wanapiga kwata kutokea huko kawe sasa sijui wanaelekea mbagala wale na hivi dar imejaa mataa taa kila hatua wala hawajali huo umbali wanaoutembea.
Ni moja ya mazoezi pia kwani walikuomba lift?.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanapata Sana tabu ya usafiri hasa wakati wa kurudi serikali iruhusu magari binafsi yakasombe watu jioni baada ya ibada. Mwamposa ni mdau wa maendeleo na ulinzi wa amani pia, means watu wakiacha dhambi Jamii inakuwa na amani
 
Back
Top Bottom