MWAMPOSA: Kama huna Passport wewe ni mtu usiyejielewa

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
Bwana asifiwe,

Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
 
Mjoli wa Mungu ambae ananena Kwa kuongozwa na Roho anaweza kusema mambo kama hayo ?
Hapa bila shaka tumepigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwana asifiwe,
Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
Hiyo passport anawachangia waumini wake 150,000? Na ukiwa nayo itakupeleka Mbinguni? Mbn tunaangamia Kwa kukosa maarifa sisi Wakristo? Mungu atusaidie Roho wa kusikia na kuona akae nasi.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Bwana asifiwe,
Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
Na wenye passport sio rahisi kumfwata mtu wa hovyo kama yeye!

Hao wanaoshinda kariakoo na manzese ndo wafuasi wake wakiamini yeye atawafikisha ulaya.
 
Back
Top Bottom