Ni yeye ndiye anayewashawishi kuja; bila ushawishi wasingekuja kuteseka Kawe mkuu. Hivyo, lawama zote zinamrudia yeye.Lakini binadamu tunatafutaga watu wa kuwaangushia lawama, kwani huyo Mwamposa kawafuata huko mikoani/majumbani kwao?
Kufanya battle na watumishi wa Mungu ni hatare sanaa sanaaaaaaNi kweli kabisa mkuu. Hata wewe ukitaka kupata ukweli kwa macho yako mwenyewe, tembelea eneo la madhabahu uone lilivyochafuliwa. Na pia utashuhudia akina mama na watoto waliotekelezwa na Mwamposa.
Am Out.Msaada gani mkuu? Msaada kwa CCM au kwa raia?
Ni game over mkuuKwanini unasema hivyo mkuu?