Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

Jamaa anashift toka eneo mpja hadi jingine.
Kutoka watu kutodhibitwa wanapolala hadi sadaka.

Chalamila atafanya nini ?, na watu wa usalama kutwa wako hapo ... Taarifa Mkuu wa wilaya anazo muda wote.

Tpaul huyo jamaa unamdai mna hata alipoimba wimbo wa taifa ulilalamika😹😹
 
Tafadhali naomba asifukuzwe kwani nitakosa Mademu rahisi wa Kuwatomba wanaosali Kwake na kurejea katika Chama cha Wapiga Punyeto Tanzania nilichokiacha siku nyingi sana.
 
Huyu inaweza hata kuwa ni wewe
Yaani mtu mmoja katengeneza kilipu basi imekuwa ni malamiko rasmi ya wananchi
Huyu mwamba mwacheni apige hela za wajinga, hii nchi imejaa wajinga wengi mno hasa wagaltia
Mkuu hakatazwi kuwapiga lakini anapaswa kuwaheshimu wafuasi wake.
 
WAnanchi watahamsihwa, pale ni zaidi ya hospitali. Watu wanaponywa, wahalifu wanatubu, mtasubiri sana.
Dini ya kweli ni ile inayoendana na yalitajwa kwenye biblia.
 
Naunga mkono, nipo hapa Kawe ninaona wanavyoteseka. Msukuma anauza ng'ombe na kumletea pesa huyu nabii!! Wanapanga vyumba vidogo vya ajabu tena wengi kwenye chumba. Inatosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…