Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

Tatizo hao watu wana imani haba, wamemgeuza mtumisho huyo Mungu kuwa mganga wa kienyeji, wacha waipate freshi, wameacha miujiza ya uponyaji wao huko wanakotoka wanakimbilia kawe
 
Hawezi kunyang'anywa huyo ni mmoja wa watu waliosaidia sana kwenye asilimia 98 za mjane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…