Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

wapigwe tu kwani kuna mtu aliwaambia waende kwa hao wasanii? msanii anakusanya mihela tu ya wajinga hajengi hata choo, duh bongo bahati mbaya sana.
 
Ukristo ni dini ya kijinga.
Hata maislamu ni majinga tu mkuu. Kwa ufupi, dini zote zilizoletwa na waarabu na wazungu hazitufai. Tunapaswa tuje na dini zetu za kiafrika zinazotumia biblia na korani za kiafrika.
 
Lile eneo lingetumika kufugia ng'ombe, tungekuwa tunauza maziwa na nyama nje ya nchi na kupata fedha za kigeni.
Pale ndipo palikuwa kiwanda cha Tanganyika Parkers lakini CCM wakaamua kuharibu kile kiwanda na kumpa Mwamposa eneo analichezea tu! Hii nchi ina mitawala ya ajabu sana.
 
Mwamposa ni shetani Mungu hawezi kuleta nabii mnyakyusa
Mambo unayostahili kujiepusha nayo ni tabia za kukashifu kabila za watu, itakuja kukuletea shida katika jamii.

Hapa unaposhea ni anonymous ambaye huwezi fanywa kitu, lakini tabia ni pembe la ng'ombe lisilofichika.

Jirekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…