Habari ni ya uhakika Babu, labda tu washindwane.Kama hii habari imetoka kwenye vyanzo vyako, nipo tayari kuiamini Kwa asilimia 99
Heri ya sikukuu ya Christmas Mjukuu, natumai wewe na Mkwe wetu nyote hamjambo 🙏🙏
Unaweza kabisa lakini stress yake wewe baki kuisikia tu.Hadi hapa naamini Wanaume hatuzeeki
Unaweza ukawa na miaka 50 ukaja Kuoa kabinti ka miaka 21 😜
Tuendelee kula mtori ama tunywe mchuzi wote
Mwamposa ni investor mkubwa paleView attachment 3184579
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni.
Mwamposa na Mkurugenzi wameshibana…
Mkurugenzi wa EFM Bwana Francis Ciza maarufu kama Majizzo (Mume wa muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’) wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu na Askofu Mwamposa katika kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mikutano na ibada zinazoendeshwa na Mwamposa kwa kipindi kirefu.
Baada ya kufanya kazi pamoja kwa kipindi kirefu, hivi sasa wapo kwenye mazungumzo ya kumuuzia media hiyo Mwamposa.
Nimetaarifiwa kwamba vikao vya mauziano hayo vinafanyika kwa siri nyumbani kwa Majizo, huku dau likiwa bado halifahamiki lakini ikielezwa Majizzo anataka dau kubwa linalokwamisha taratibu za mauziano kuanza.
EFM Radio imemshinda Majizzo!
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na minong’ono ya wafanyakazi kushindwa kulipwa mishahara kwa wakati, ikisemekana wanaolipwa bila kusumbuliwa ni wale watangazaji wenye majina makubwa pekee, huku wale wachanga wakipitia wakati mgumu kimalipo.
Taarifa za uhakika ni kwamba redio hiyo imemshinda Majizzo, changamoto za uendeshaji zimemuelemea na inasemekana kama sababu kuu ya yeye kufikia uamuzi wa kumuuzia Mwamposa kampuni yote hiyo ya habari iliyokuja kuzipa chachu redio kongwe miaka ya mwanzoni mwa uzinduzi wake.
Majizzo siye mmiliki pekee…
Taarifa za usajili wa kampuni zinaonesha kumilikiwa na ndugu watatu, yeye Majizzo (Francis Ciza 40%) ndugu zake kwa upande wa baba yake mlezi Mzee Ciza… Jean Ciza 40% pamoja na Justine Ciza 20%
Wenu katika unyetishaji, mimi na chanzo changu,
Nifah.
AcquisitionNyuma ya nani sasa?
Kwanini imfurahishe wakati ushindani ni mzuri katika biashara?Alidandia gari kwa mbele, hii habari itamfurahisha sana Diamond.
Hahaha...............Mimi pia Mwaka Jana nilijichanganya Kwa Kuoa kabinti nilikapita miaka 45 hiviUnaweza kabisa lakini stress yake wewe baki kuisikia tu.
Tumewahi kuwa na jirani mzee aliyeoa kabinti basi alikuwa asione kijana anamtazama mkewe roho juu!
Nimefurahi kusikia mnaendelea vizuri, Mwakani panapo majaaliwa nitakuja kuwatembelea huko Mjini kwenu 🤗Habari ni ya uhakika Babu, labda tu washindwane.
Heri ya sikukuu Babu yangu, mie na mkweo hatujambo kabisa.
Babu una mengi jamani? Hadi kuoa kabisa?Hahaha...............Mimi pia Mwaka Jana nilijichanganya Kwa Kuoa kabinti nilikapita miaka 45 hivi
Kwa kweli Kwa mara ya kwanza nililazimika kumpeleka hadi Sokoni kuogopa kuibiwa 🙌
Oooyeeeah ni Niffer tena...View attachment 3184579
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni.
Mwamposa na Mkurugenzi wameshibana…
Mkurugenzi wa EFM Bwana Francis Ciza maarufu kama Majizzo (Mume wa muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’) wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu na Askofu Mwamposa katika kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mikutano na ibada zinazoendeshwa na Mwamposa kwa kipindi kirefu.
Baada ya kufanya kazi pamoja kwa kipindi kirefu, hivi sasa wapo kwenye mazungumzo ya kumuuzia media hiyo Mwamposa.
Nimetaarifiwa kwamba vikao vya mauziano hayo vinafanyika kwa siri nyumbani kwa Majizo, huku dau likiwa bado halifahamiki lakini ikielezwa Majizzo anataka dau kubwa linalokwamisha taratibu za mauziano kuanza.
EFM Radio imemshinda Majizzo!
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na minong’ono ya wafanyakazi kushindwa kulipwa mishahara kwa wakati, ikisemekana wanaolipwa bila kusumbuliwa ni wale watangazaji wenye majina makubwa pekee, huku wale wachanga wakipitia wakati mgumu kimalipo.
Taarifa za uhakika ni kwamba redio hiyo imemshinda Majizzo, changamoto za uendeshaji zimemuelemea na inasemekana kama sababu kuu ya yeye kufikia uamuzi wa kumuuzia Mwamposa kampuni yote hiyo ya habari iliyokuja kuzipa chachu redio kongwe miaka ya mwanzoni mwa uzinduzi wake.
Majizzo siye mmiliki pekee…
Taarifa za usajili wa kampuni zinaonesha kumilikiwa na ndugu watatu, yeye Majizzo (Francis Ciza 40%) ndugu zake kwa upande wa baba yake mlezi Mzee Ciza… Jean Ciza 40% pamoja na Justine Ciza 20%
Wenu katika unyetishaji, mimi na chanzo changu,
Nifah.
Kama wanafikiri hivyo basi hii nchi kuendelea kazi sanaSasa hivi kuna Crown kumbuka, hivyo ushindani uliongezeka.
Kuondoka kwa EFM kutaleta afueni, kwamba ni bora kupambana na wachache kuliko wengi.
Inaenda kupotea mazimaView attachment 3184579
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni.
Mwamposa na Mkurugenzi wameshibana…
Mkurugenzi wa EFM Bwana Francis Ciza maarufu kama Majizzo (Mume wa muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’) wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu na Askofu Mwamposa katika kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mikutano na ibada zinazoendeshwa na Mwamposa kwa kipindi kirefu.
Baada ya kufanya kazi pamoja kwa kipindi kirefu, hivi sasa wapo kwenye mazungumzo ya kumuuzia media hiyo Mwamposa.
Nimetaarifiwa kwamba vikao vya mauziano hayo vinafanyika kwa siri nyumbani kwa Majizo, huku dau likiwa bado halifahamiki lakini ikielezwa Majizzo anataka dau kubwa linalokwamisha taratibu za mauziano kuanza.
EFM Radio imemshinda Majizzo!
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na minong’ono ya wafanyakazi kushindwa kulipwa mishahara kwa wakati, ikisemekana wanaolipwa bila kusumbuliwa ni wale watangazaji wenye majina makubwa pekee, huku wale wachanga wakipitia wakati mgumu kimalipo.
Taarifa za uhakika ni kwamba redio hiyo imemshinda Majizzo, changamoto za uendeshaji zimemuelemea na inasemekana kama sababu kuu ya yeye kufikia uamuzi wa kumuuzia Mwamposa kampuni yote hiyo ya habari iliyokuja kuzipa chachu redio kongwe miaka ya mwanzoni mwa uzinduzi wake.
Majizzo siye mmiliki pekee…
Taarifa za usajili wa kampuni zinaonesha kumilikiwa na ndugu watatu, yeye Majizzo (Francis Ciza 40%) ndugu zake kwa upande wa baba yake mlezi Mzee Ciza… Jean Ciza 40% pamoja na Justine Ciza 20%
Wenu katika unyetishaji, mimi na chanzo changu,
Nifah.
Ni kweli aisee niliwahi kukaa nawafanyakazi wa RFA,Star TV na Kiss FM kipindi za moto.Ila walikuwa na njaa kali sana ila majina makubwaaa.Media za bongo mishahara changamoto
Wakristo mnapumbazwa na waislamu kwa kutengenezewa mitume feki na kuwapa vibari vya kuwapumbaza hili waislamu wazidi kushika njia kuu za uchumi wa nchi ...baada ya miaka 10 kutoka sasa hakuna mkristo atakaye kuwa tajiri wa maana ....matajiri wote watakuwa waislamu na zaidi waislamu wenye asili ya kiarabu ...wao ndiyo watakuwa waajili nchi
UMEWAZA SANA.Wakristo mnapumbazwa na waislamu kwa kutengenezewa mitume feki na kuwapa vibari vya kuwapumbaza hili waislamu wazidi kushika njia kuu za uchumi wa nchi ...baada ya miaka 10 kutoka sasa hakuna mkristo atakaye kuwa tajiri wa maana ....matajiri wote watakuwa waislamu na zaidi waislamu wenye asili ya kiarabu ...wao ndiyo watakuwa waajili nchini
Leoi wapi jombaaUsiwaze mshua