THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Hata ujumbe huu umeletwa sivyo. Nilimsikiliza.
Alitolea mfano jinsi Mungu akikuweka level flani ukawa juu basi watu watakuangalia wewe, watakusema wewe kwa lolote ufanyalo.
Alijitolea mfano yeye mwenyewe kuwa Mungu kamuweka level ya juu ndio mana gumzo jingi mtaani na yeye alisema hana muda wa kujibu hoja za mitaani mana sio level (kiwango) chake, akifanya hivyo atakuwa amejishusha sana. Cha ajabu mleta mada kaigeuza hoja kaileta hapa kama amewajibu hao wamsemao mtaani.
Wewe kwa nini usitoe ushahidi wa kumshtukia, nenda kamshtukieHuyu tapeli Mwamposa anaona watu mambwiga kweli. Anaibia watu mchana kweupe na hawamshtukii.
Aache kujipa promo za kijinga
TunasubiriHahaha tunaomba hicho alichofanya bungeni kwanza
Mambo mengine huwa yanachekesha sana aisee🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kuhani wa. Mchongo
ataenda jehnam
Sisi Waislam, Wakatoliki na Waruther tunamchukia sana Mwamposa. Sana.
Huyu tapeli Mwamposa anaona watu mambwiga kweli. Anaibia watu mchana kweupe na hawamshtukii.