The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya yesu,
Kama ana amini yeye analindwa na Damu ya yesu, kwanini awe na escort ya police? Maana Yesu tu anatosha kumlinda
Au ulinzi wa police ni uhakika kuliko wa bwana Yesu anae mwamini
Kuna time Huwa anakuwa na ma bodyguard kabisa, kwani bwana Yesu atoshi ?
Naona kama Kuna janja Janja Kwa Hawa manabii