kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hizi dini ni mchezo tu ili mtu ale kilaini pasipo jasho. Huenda serikali inachukuwa kodi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi inachukuliwa na polisi wanalipwa vilevile.Hizi dini ni mchezo tu ili mtu ale kilaini pasipo jasho. Huenda serikali inachukuwa kodi yake.
Mkuu kwanza kabisa kwasasa huyu mtu anaushawishi kushinda hata serikali, sio mtu mdogo kwahiyo ni sawa kuwa na escort ili kurahisisha baadhi ya mambo. Ukiachana na ulinzi huduma anayotoa kwa idadi ile ya watu kunahitajika unyumhulifu wa hali ya juu.Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya yesu,
Kama ana amini yeye analindwa na Damu ya yesu, kwanini awe na escort ya police? Maana Yesu tu anatosha kumlinda
Au ulinzi wa police ni uhakika kuliko wa bwana Yesu anae mwamini
Kuna time Huwa anakuwa na ma bodyguard kabisa, kwani bwana Yesu atoshi ?
Naona kama Kuna janja Janja Kwa Hawa manabii
Hamna kitu pale ni mbwembwe tu na ipo siku atataka kuedit Biblia kwamba na yeye ni miongoni mwaoSasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya yesu,
Haiko Hivyo mkuu,watu wabaya ni watu pia.Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya yesu,
Kama ana amini yeye analindwa na Damu ya yesu, kwanini awe na escort ya police? Maana Yesu tu anatosha kumlinda
Au ulinzi wa police ni uhakika kuliko wa bwana Yesu anae mwamini
Kuna time Huwa anakuwa na ma bodyguard kabisa, kwani bwana Yesu atoshi ?
Naona kama Kuna janja Janja Kwa Hawa manabii
MkyuNilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya yesu,
Kama ana amini yeye analindwa na Damu ya yesu, kwanini awe na escort ya police? Maana Yesu tu anatosha kumlinda
Au ulinzi wa police ni uhakika kuliko wa bwana Yesu anae mwamini
Kuna time Huwa anakuwa na ma bodyguard kabisa, kwani bwana Yesu atoshi ?
Naona kama Kuna janja Janja Kwa Hawa manabii
MWAMPOSA ANATUMIWA NA CCM HASA WAISIHARAMU WA CCM KUWAPUMBAZA WAKRISTO ILI WAPOTEZE MUDA MAKANISANI NA KUTOA MWANYA KWA MAFISADI YA CCM NA KIISLAMU WALIOPO CCM KUFISIDI NCHINilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya yesu,
Kama ana amini yeye analindwa na Damu ya yesu, kwanini awe na escort ya police? Maana Yesu tu anatosha kumlinda
Au ulinzi wa police ni uhakika kuliko wa bwana Yesu anae mwamini
Kuna time Huwa anakuwa na ma bodyguard kabisa, kwani bwana Yesu atoshi ?
Naona kama Kuna janja Janja Kwa Hawa manabii
Mkeshaule kapiga kama 500mil kwa uchache.....watu 450k kila mmj average 1200 tuWote wezi aliyesindikizwa na msindikizaji ndipo unapotimia ule msemo wa ndege wafananao huruka pamoja
Ulinzi wa makusanyo ya pesa na wanalipwa sio chini ya M5 hadi 10 per escort au per diem ya laki3 kwa Kila AskariNilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..