Mwamposa na escort ya police

Pengine hukuona vizuri hiyo ni kampuni ya ulinzi kwa sababu mikutano ya dini haimo kwenye bajeti ya serikali.Lakini madhehebu yoyote yanaweza kampuni za ulinzi
 
Polisi walikua wanalinda sadaka yake iwe safe
 
Wanajitetea kwamba hata Yesu alikuwa na mabodguard ambao ni wanafunzi sijui .oky Mungu hajaribiwi ,ulinzi maeneo kama yale ni muhimu .huwezi acha mlango wazi ukitegemea miujiza kutoibiwa .

Mungu anaenda kwa kanuni za msingi
 
Usimjaribu bwana Mungu wako imeandikwa na pia ulinzi wa escort hata na vifaru ukihitaji hata wewe unapewa chief ni swala la kuzingatia maokoto.
 
 


Huyo achana naye, anapiga hela tu huyo
 
Acha wamlinde,hao misukule wake akili zinaweza zikawarudi wakamuua!!
 
Vipi maokoto kutoka kwa kondoo?
 
Ulinzi muhimu ndugu yangu.
 
Atajitetea usimjaribu bwana Mungu wako πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuwatawala binadamu mmoja mmoja ni kazi ngumu ila ukiwagawanya katika makundi basi kazi inakuwa rahisi, unamtumia kiongozi WA kundi wengine wanafuata!
Dini zipo kwa ajili hiyo ndio maana huwezi kusikia viongozi WA dini wakiguswa hata kama wameharibu kama "kiboko ya wachawi'
 
Anatii Sheria za nchi. Ni kosa kinyume cha Sheria kutembea na hela nyingi bila escort.

Ukija kimaandiko anatimiza andiko lisemalo " Usimjaribu Bwana Mungu wako"

Kutembea na bilioni moja bila escort ni kumjaribu Bwana Mungu wako
 
Wewe unae jitambua, unataka kusema Nini?
Mimi nianaye jitambua nafahamu Mungu alimuumba binadamu na akili . Vitu vingi vinahitaji kutumia akili uliyopewa na Mungu mfano kujilinda. MaombI yatakusaidia pale ambapo utahitaji ulinzi ulio zidi viwango vya kibinadamu. Mtu yeyote mwenye akili anaelewa hivi
 
wewe unafikiri kwamba MAHELA anayokusanya mwamposa akitoka kanisani ni buku mbili????? pale wajinga ndio waliwao!!!,,,jamaa anakusanya MAHELA kibao!!!!!jumapili moja anaweza akavuna mpaka milioni 100 mazee!!!!!
 
Ujinga mtupu, hata hao manabii wengine mfano Mussa walipigana vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…