Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.
Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema ila kuvilinda vizazi vya kesho.