Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

Anasema Wachina wenzake je Huko China wanakwapua pesa za Maskini kwa Maombi?

Tunaendeshwa na imani zisizotusaidia na wala sio Ushoga kuendesha Nchi.

Huyu Mzee anataka kuhamisha mjadala tuache kujadili Uongozi mbovu wa ccm na serikali yake tuanze kujadi inya za watu.
 
Kwahiyo Mungu hataki ushoga Tz tu?
Kwanini asitake X ifutwe Kenya, Marekani?

Kama Mungu amesema nae, basi angeagiza wanaume wote wauwawe kama kipindi cha Sodoma na Gomora, sababu wao ndio chanzo cha ushoga na mapenzi kinyume na maumbile.

Mwamposa katumwa na watu wa juu, wanaamini Mwamposa ana watu wengi wanaomsikiliza maigizo yake.
 
==
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.

Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.

Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,

Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
View attachment 3037224
Mchawi mkuu aliyejificha kwenye kichaka cha uchungaji anatoa maagizo ya kichawi kwa waziri hii ni kwa TZ tu!!!!
 
==
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.

Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.

Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,

Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
View attachment 3037224
Huyu ni Tapeli wa Injili, Zile Clouds FM na Wasafi Fm zimejaa mashoga pia je anasemaje huko?
 
Mbona Rc Makonda aliukemea na baadae serikali yake ikamkana kuwa haihusiki na wala haijamtuma.

Which Means.....

Watuhumiwa wengi wa mambo hayo machafu ni wa chama kile.
 
Apostle aliekaa kimya RC alipomla mwanafunzi jicho anataka tumuamini kwenye hili come on let's be serious, aendelee kula sadaka zake na kondoo kimya kimya asione Watanganyika wote ni matahila hatujitambui ushoga utawezekana kwa kuweka hadharani mashoga wote na wanaowatumia mashoga kwa majina na picha
 
Hii michezo huwa wanaipanga nje ya uwanja, halafu baadae wanaenda kuicheza uwanjani.

Kuna siku Samia alipiga simu akaongea na Mwamposa na waumini wake, akawaahidi yuko pamoja nao wamuombee, kisha akawaaga akamwambia Mwamposa atampigia baadae waongee akimaliza ibada.

Sasa kama alimpigia baadae walivyomaliza ibada, basi naamini huu ujinga wa kutaka kuifungia X ndio waliozungumza, nakumbuka wakati ule Samia alikuwa anashambuliwa sana na Mange wakapanga Mwamposa aanzishe hilo suala.

Kisha amtupie Nape, nae Nape aseme tutafikiria, wakati huo wajinga wengine wa UVCCM wakiendelea kushadadia X ifungiwe, ndio Nape aje kuufungia kwa kudai amesikiliza kilio cha wengi.

Hii issue ya kuifungia X ni maagizo ya Samia ameyatafutia channel ya kutokea kupitia kwa Mwamposa mwenye kondoo wengi siku hizi.

Wana push hii agenda ili ikifika mwezi wa nane X ifungiwe, then Mwamposa aende kujisifu kwa kondoo wake niliwaambia X itafungiwa mwezi wa nane si mmeona... hallelluyaah kondoo waitike Ameeeen!.
 
Anasema Wachina wenzake je Huko China wanakwapua pesa za Maskini kwa Maombi?

Tunaendeshwa na imani zisizotusaidia na wala sio Ushoga kuendesha Nchi.

Huyu Mzee anataka kuhamisha mjadala tuache kujadili Uongozi mbovu wa ccm na serikali yake tuanze kujadi inya za watu.
Ametumwa aturoge tuipende mboga mboga
 
Awafundishe watu kuacha dhambi, siyo kufungia mitandao.

Hizo video za x mbona hata hatuzioni, hawa wahubiri wafanye kazi waliyoitiwa
Wahubiri wasio na faida. Huwezi kuwasikia wakihubiri vitu vya maana kila sikukuwajaza Waumini Hisia za Uchawi, ulozi, uganga, laana, mikosi na Umaskini tu.

Yaani utadhani Mungu hayupo.
 
==
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.

Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.

Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,

Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
View attachment 3037224
Huyu ni mpigaji tu
 
Katika_Historia__Pamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
==
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.

Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.

Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,

Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
View attachment 3037224
Katumwa na CCM huyu tapeli.
 
Back
Top Bottom