Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

Kwa nini mwamposa asimuombe huyo mungu wake azime mtamdao wa x Tanzania hadi aiombe tcra, kwani huyo mungu hana uwezo wa kuzima x yeye mwenyewe?
Mwamposa anamwakilisha Mungu hapa Duniani so kumpinga ni sawa na kupingana na Mungu,

Nape atambue shida iko hapa
 
Kama hii ndiyo akili ya Mtanzania, inaishia kutaka X ifungiwe, tuna safari ndefu sana. Kuna matatizo mengi nchini, tungekesha tunaitaka Serikali wayatatue. Watu wako na X ifungwe, acha ccm iendelee kuburuta watu.
uje tuishi wote ughaibuni Ma lady
 
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.

Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema ila kuvilinda vizazi vya kesho.
View attachment 3037265
ye mwenyewe kaoa juzi tu hapa, tulikuwa hatumjui vizuri.
 
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.

Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema ila kuvilinda vizazi vya kesho.
View attachment 3037265
Ameifanya vizuri kazi aliyotumwa kwenda kuifanya Arusha.
 
==
Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.

Bado haijafahamika kama Serikali ya Tanzania chini ya Waziri wake wa habari na mawasiliano Mhe Nape Nauye watatii agizo hili au laa.

Watanzania walio wengi wanakubaliana na maoni ya Apostle kwani kesho ya watoto wenu ni muhimu zaidi kuliko X au Mtandao wowote,

Mungu ibariki Tanzania,Nasisi na Mwamposa.
View attachment 3037224
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom