Ushoga unaupenda..?Wewe mwenyewe tapeli anaishi kwa kuwatoza sadaka waumini wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushoga unaupenda..?Wewe mwenyewe tapeli anaishi kwa kuwatoza sadaka waumini wake
Watu wote wenye smartphone sio hao watu wanaozungumziwaKuanzisha mada kuhusu ushoga tu tayari ni kuutangaza
Mitandao ya ngono imefunguliwa na wototo sasa wanagonoka kisawasawa! Sasa unaongea nini?Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.
Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema ila kuvilinda vizazi vya kesho
Wewe unapenda Ushoga?
Je, alichozungumza kina maana ama kwasababu aliyezungumza humkubali hivyo na alichozungumza hukikubali.
Kumejaa aibu tupuUshoga, ubakaji na ulawiti vimejaa mpaka Serikalini. Basi tuifungie na Serikali. Fikiria mpaka tuna viongozi wa Serikali wabakaji na walawiti, halafu kwa unafiki tunajifanya tunachukia ushoga!
Ni mambo ya kijinga tuHakina maana kwa vile hana dhamira ya kuuvhukia ushoga.
Si umesikia jinsi wabakaji na walawiti waliopo ndani ya Serikali? Yaani wabakaji na wanaolawiti mpaka wanafunzi, eti wakaifungie mitandao ya kijamii kwa vile inahamasisha ushoga! Kama tunauchukia ushoga na tabia zote chafu, mbona hatujaifungie Serikali iliyojaa uchafu wa kupindukia, kuuzidi hata ushoga.
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.
Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema ila kuvilinda vizazi vya kesho
Hii ni point na hapo ndipo tunafeli kama taifa.Hakina maana kwa vile hana dhamira ya kuuvhukia ushoga.
Si umesikia jinsi wabakaji na walawiti waliopo ndani ya Serikali? Yaani wabakaji na wanaolawiti mpaka wanafunzi, eti wakaifungie mitandao ya kijamii kwa vile inahamasisha ushoga! Kama tunauchukia ushoga na tabia zote chafu, mbona hatujaifungie Serikali iliyojaa uchafu wa kupindukia, kuuzidi hata ushoga.
...ndio maana leo ni maarufuHuyu aliwakanyagisha raia mafuta wakafa kwa makumi huko Moshi na mpaka leo bado anadunda tu uraiani.
Mmh! Huyu huyu Mwamposa mtafuna wake za watu ndiyo anataka mtandao X ufungiwe?Mtumishi wa Mungu na wanadamu anayeheshimika zaidi duniani Apostle Boniface Bulldozer Mwamposa ameitaka Serikali ya Tanzania kuufungia mtandao wa X kwa maramoja kwa kosa la kuhamasisha Ushoga na Usagaji Tanzania.