Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Wewe mwenyewe tapeli anaishi kwa kuwatoza sadaka waumini wakeMtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote inayohamasisha Ushoga nchini.
Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema.
Wewe unapenda Ushoga?Mwamposa ni idiot anaenda na bit ya serkali
Serikali inawaanda wananchi kisaikolojia kufungia X kupitia matapeli km kina mwamposa
Nakubalina na Mwamposa kwa 100%View attachment 3019629
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote inayohamasisha Ushoga nchini.
Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema.
X inaenezaje ushoga?Wewe unapenda Ushoga?
Unavhokitafuta utakipataWewe mwenyewe tapeli anaishi kwa kuwatoza sadaka waumini wake
Wewe mwenyewe tapeli anaishi kwa kuwatoza sadaka waumini wake
Sio tapeli yaani na yeye ni shoga mana anapata Misaada kutoka nchi za mashoga ikiwa na mashariti ya kishoga....Hiii nchi inayopinga ushoga inapata mikopo kila siku kutoka kwa hao Mashoga..Kama wako serous na wanachokimanisha wapinge wazi wazi mambo Ya Ushoga kama alivyofanya Mwamba MUSEVENI PALE UGANDA.Wewe mwenyewe tapeli anaishi kwa kuwatoza sadaka waumini wake
Huwezi kupambana na wakati.Nakubaliana nae hiyo mitandao ifutwe tu au iache hiyo tabia yake
Nampongeza sana Rais Kagame aliyezuia Wapumbavu fulani kufanya Huduma ya Kitapeli ya Kawe nchini Kwake Rwanda.View attachment 3019629
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.
Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya jambo hilo lisitishwe mara moja kwa Mtandao husika kufungiwa bila kujali watu wachafu watavyosema ila kuvilinda vizazi vya kesho