KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka.
Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali.
Accounts zote zinasoma kwa jina lake
Nimemkubali sana huyu pastor kwa kuwa mkweli. Mungu hatumii hela wala hazihitaji.
Wanasema mtoleeni Bwana Mungu sadaka, halafu jina linatokea Boniface Mwamposa, bongo noma