Mwamposa ni mkweli sana, Mungu hatumii hela ndio maana account zote za sadaka ziko kwa jina la Mwamposa

Mwamposa ni mkweli sana, Mungu hatumii hela ndio maana account zote za sadaka ziko kwa jina la Mwamposa

Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya
Nimewahi kutuma Sadaka zamani sana tena sio kwa Mchungaji kwa mtu mwenye uhitaji aliomba msaada kwa watu Redioni na mimi nikaweka hela yote niliyokua nayo kwenye ile namba ila kwa Numposa sijawahi hata kusogeza pua yangu, yeye hizo Sadaka anazipeleka wapi kwa mfano?
 
Wamama wanaliwa pesa zao na Mwamposa wakisubiri miujiza.

Vijana wanaliwa pesa zao na mhindi wakisubiria kutusua kwenye betting.

Kataa ndoa na chaputa pesa zao zinaishia kwenye madanguro na kununua MBs respectively.

Wababa tupo kwenye pombe na michepuko.

Kila mtu analiwa.
Ni kweli,kila mtu analiwa kwa namna yake

Kuna wengine kote huko ulikokusema hawapo lakin bahati mbaya walijikuta wamenunua magari masumbufu kila siku yupo garage
 
Jamaa ni mwendo wa kujipigia hela tu, yeye kwani anajali
 
Yaani unatoa hela yako unampa tapeli halafu unasubiri ubarikiwe na mungu
eti kutoa ni moyo huko mtaan kwenu hakuna watu maskini mpk upeleke hela kanisani!
 
Kwa sasa naona Dini pekee ni hiyo ya hawa wenzetu.
Hii ya kwetu ni mwendo wa siasa na biashara.
Ukifanikiwa kukamata akili za wateja wako basi utajiri utapata.
 
Hii nguvu unayoitumia kupambana na apostle ungeiweka kwenye kutafuta hela ungekuwa mbali sana
 
Back
Top Bottom