KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Ninauza upako, njoo UPATE nguvu za ajabu zitendazo miujizaNdo maana wengi wakishajua kuomba kidogo wanakimbilia kufungua makanisa ili wachume pesa, dini na neno la Mungu vimekuwa biashara inayolipa siku hizi
Mwamposa jipakulie minyama mtumishi.Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka.
Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali.
Accounts zote zinasoma kwa jina lake
Nimemkubali sana huyu pastor kwa kuwa mkweli. Mungu hatumii hela wala hazihitaji.
Wanasema mtoleeni Bwana Mungu sadaka, halafu jina linatokea Boniface Mwamposa, bongo noma
Maisha yenyewe mafupiMwamposa jipakulie minyama mtumishi.
Huyo ndio atakuwa shetani mwenyeweMkuu atatokea mtu huko mbeleni atakuwa na Mpesa,Tigopesa za Sir mwenyewe straight...
Kila MTU anaujinga wake, wote tunaliwa kwa Namna tofautiWajinga ndo wanaoliwa
Acha hizo storiNinauza upako, njoo UPATE nguvu za ajabu zitendazo miujiza
Sawa chiefAcha hizo stori
Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malayaWaache hao mnaowaita wajinga watoe, nyie zenu kaleni starehe. Maana hata wajinga wakitoa Ninyi zinawaathiri nini?
Bendera ya Taifana embassy click
Wapi?Kama huna Imani umefwata nini huko kama sio umbea.