zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Nimewahi kutuma Sadaka zamani sana tena sio kwa Mchungaji kwa mtu mwenye uhitaji aliomba msaada kwa watu Redioni na mimi nikaweka hela yote niliyokua nayo kwenye ile namba ila kwa Numposa sijawahi hata kusogeza pua yangu, yeye hizo Sadaka anazipeleka wapi kwa mfano?Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya
Ni kweli,kila mtu analiwa kwa namna yakeWamama wanaliwa pesa zao na Mwamposa wakisubiri miujiza.
Vijana wanaliwa pesa zao na mhindi wakisubiria kutusua kwenye betting.
Kataa ndoa na chaputa pesa zao zinaishia kwenye madanguro na kununua MBs respectively.
Wababa tupo kwenye pombe na michepuko.
Kila mtu analiwa.
Umeona sadaka tu, mengine ujayaona. Inaonyesha jinsi gani ubongo wako ulivyo-kuwa attached na material things.Wapi?
😃😃Huo ndo UTAPELI wa kidini na kiimani sasaNinauza upako, njoo UPATE nguvu za ajabu zitendazo miujiza
Aiswee😃😃Huo ndo UTAPELI wa kidini na kiimani sasa
HatariAiswee
Wanaoitwa wajinga wanaliwa, wanaojiita werevu wanaumiaWajinga ndo wanaoliwa
Ila ujinga wa kuliwa na mwamposa ni wa kiwango cha SGRKila MTU anaujinga wake, wote tunaliwa kwa Namna tofauti
Wee unakuwa na vicheche, mashangazi na mabazaziIla ujinga wa kuliwa na mwamposa ni wa kiwango cha SGR