DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea.

Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua kufanya kama Yeye wataachwq au Watazuiwa?

Sasa kama tunampenda na kumpa Kiburi chote na Jeuri zote mbele ya Mamlaka na Watanzania kwanini hatumtumii Kuwapumbaza Watanzania waikubali DP World, atusaidie kuacha Kunywa Whisky, tutunze Ndoa zetu na tusiwe Wanafiki na Wapumbavu?

Hivi huwa tunapima ni Uharibifu kiasi gani hasa wa Eneo husika la NHC na wa Mazingira ya Kawe ( hasa Tanganyika Packers ) huwa yanatokea baada ya haya Matamasha yake?

Najua kuna Wapumbavu watakuja hapa na kusema kuwa GENTAMIYCINE nina Chuki Binafsi na niko Obsessed na Mwamposa ila kwa jinsi huyu Mtu hivi sasa anakuwa Treated na Mamlaka ( Serikali ) kama Mungu wa Pili baada ya MUNGU MKUU wenye Akili tunahisi huenda akawa anatumika hata kwa Mambo mengine Hasi kwa Jamii na Taifa kupitia Imani za Watu.

Kwahiyo kuwaombeeni Kwake mpone Virusi visivyotibika hata na WHO huku akija huko katika Mahekalu yenu Makubwa ya nchini na Kuwadanganyeni na akifaidika Kimaisha na Upumbavu na Ushamba wenu ndiyo mnampa Mamlaka yote hata katika Masuala ya Kikanuni na Kiutaratibu?

Kama Mzalendo wa Taifa hili la Tanzania GENTAMIYCINE nakereka na Mtu Mmoja kuvunja taratibu zilizoko za Kimamlaka kwakuwa tu ana Fedha, Analindwa na Anaogopwa kwa Maombi yake ya Kimazingaombwe na Dawa za kutoka Mozambique na Congo DR.

Siku zingine mruhusuni aje afanye Matamasha yake Magogoni na Chamwino ili awaombeeni na Matatizo yenu makubwa mliyonayo na yenye Historia ya kuanza mwaka 1981 yakitokea nchini Uganda kwa Muasisi Mvunja Ukimya Marehemu Philemon Lutaaya.
Phill lutaya alifariki na marukanga
 
Back
Top Bottom