Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

aic chang'ombe vijana choir _jihadhari na mpinga....
 
maisha yangu yalibadilika ghafla yaani co
sidhani kama MUNGU atakubali sifa, angali anajua umepotea.(kwa mfano) musa alipofanya miujiza, ili israel waondoke misri, na kuwa huru. farao nae alifanya yake ili kuwazui wasiondoke. ndio maana ukaambiwa ; UKISITAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI(farao). miujiza ya shetani, kazi yake ni kuwafanya watu wasiondoke sehemu aliyowafungia(dini na madhehebu) kuuelekea wokovu na uzima wa milele. wabaki wakiamini mahali walipo kuna MUNGU, lakini sio kweli. BIBLIA INASEMA...MATHAYO 7:21-23.
21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Wengi wataniambia siku ile,Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? 23 ndipo nitawaambia dhahiri, sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
 
Enzi za mitume ulikuwa ukidanganya kuhusu suala la utoaji/sadaka unakufa pale pale mbele ya watu alekuwa anasababisha hayo ni mungu huyu huyu ambae unataka kusema haitaji sadaka kama nilikuelewa vzr
 
Hahaha jomba unataka kuniambia walio na buku pale hawajawahi pata mafanikio...??? Inawezekana anawaonea huruma wenye vipato vidogo lakini hajasema hao hawapati baraka...wanapata wengi tena inawezekana hao ndio wanainuliwa zaidi..nenda kafanye reseach
ila yote ndo maisha
 
Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu. ko kumbe unajua kuwa shetani yupo? na unajua kuwa anakutesa ila hujui nan atakusaidia sio??
 
Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu. ko kumbe unajua kuwa shetani yupo? na unajua kuwa anakutesa ila hujui nan atakusaidia sio??
Si kwamba shetani yupo au mapepo wapo au wanaweza kuthibitishika na kuonekana wapo,

Ila mapepo ni dhana iliyopo kwa baadhi ya watu kudai wana hao mapepo na hushikwa na hayo mapepo.

Mapepo, Shetani na Mungu Hawapo. Ni dhana za kufikirika zinazo dhaniwa zipo.
 
Money oriented mambo ya dhambi utajuana na Mungu wako,watu wanataka miujiza wewe unaketa habari za dhambi utakosa hela babu
 
Umenifurahisha sana Kwa kusema ukweli. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hawa wanaojifanya manabii ni wezi kabisa, na wanawake huwaambii kitu kuwahusu hawa jamaa.
 
Khaaa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia bei ya maji apunguze iwe shilingi 500/- tu kwa lita moja na itamlipa sana tu.

Hiyo Ndiyo bei ya kawaida a wastani ya Maji ya lita moja mtaani .
 
Hapo kwenye hoja na. 2 ni kwamba atakemeaje dhambi wakati wenye madhambi ndiyo wenye sadaka nene? Hawezi kukemea uzinzi, wizi, ufisadi, nk kwa sababu hao ndiyo anataka watoe bahasha nene...
 
Dah!! Nakumbuka Vipaumbele ktk ilani aliyotumia mzee Lowasa 2015. Kipaumbele cha kwanza mpaka cha tatu, ELIMU, ELIMU, ELIMU

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
So mwamposa anazuia hayo yote? Ukienda kwake suala la moyo kusimama (kufa) halipo? You. Brain washed sheeps hebu amkeni asee

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
I had an opportunity to meet him in person about two years ago. They respect and fear him like a god. They even loosen his shoe laces and remove his shoes for him. He just sat there. The rich get personal time to meet him and receive blessings. Its a business scheme not a real christian church.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wacha watu wasake pesa umasikini unauma na unaaibisha.
 
Hivi Mimi huwa simuelew hata kidogo huyu sijui watu wamelogwa na nini pale Kwa mwamposa.
 
yangoswe muachie ngoswe labda kama hujui siku hizi wanahubiri mafanikio ukitaka gari Nyumba mtoto mke pisi Kali zamani walikuwa wanahubiri wokovu ndio maana walikuwa wachache makanisani na mapato yalikuwa hafifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…