Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 260
- 375
Something must be wrong, hakuna mwenye akili timamu ataenda paleHivi hao matapeli wanawapa nn? Yani mtu mwenye akili kabisa unashinda kwa Mwamposa dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Something must be wrong, hakuna mwenye akili timamu ataenda paleHivi hao matapeli wanawapa nn? Yani mtu mwenye akili kabisa unashinda kwa Mwamposa dah
Something must be wrong, hakuna mwenye akili timamu ataenda pale
sidhani kama MUNGU atakubali sifa, angali anajua umepotea.(kwa mfano) musa alipofanya miujiza, ili israel waondoke misri, na kuwa huru. farao nae alifanya yake ili kuwazui wasiondoke. ndio maana ukaambiwa ; UKISITAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI(farao). miujiza ya shetani, kazi yake ni kuwafanya watu wasiondoke sehemu aliyowafungia(dini na madhehebu) kuuelekea wokovu na uzima wa milele. wabaki wakiamini mahali walipo kuna MUNGU, lakini sio kweli. BIBLIA INASEMA...MATHAYO 7:21-23.maisha yangu yalibadilika ghafla yaani co
Enzi za mitume ulikuwa ukidanganya kuhusu suala la utoaji/sadaka unakufa pale pale mbele ya watu alekuwa anasababisha hayo ni mungu huyu huyu ambae unataka kusema haitaji sadaka kama nilikuelewa vzrKujenga mahoteli si lazima uwe mchungaji au uwe na kanisa point hapa ni kwamba,
Kama makanisa lengo lake ni kuhubiri neno la Mungu kwa nini kuwepo na kipengele cha Sadaka?
Mungu muweza wa vyote anahitaji sadaka ya nini? Wakati yeye ana uwezo wa vyote?
Kanisa ni sehemu ya matapeli kupata pesa za wajinga wasio jitambua kwa jina la "Sadaka"
Watu mnadanganywa kwamba mtolee Mungu sadaka ,lakini hela hizo zina mnufaisha mchungaji wenu, Ninyi mkibaki na ufukara wenu.
ila yote ndo maishaHahaha jomba unataka kuniambia walio na buku pale hawajawahi pata mafanikio...??? Inawezekana anawaonea huruma wenye vipato vidogo lakini hajasema hao hawapati baraka...wanapata wengi tena inawezekana hao ndio wanainuliwa zaidi..nenda kafanye reseach
Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu. ko kumbe unajua kuwa shetani yupo? na unajua kuwa anakutesa ila hujui nan atakusaidia sio??Hata uwepo wa mapepo na shetani ni uthibitisho wa kwamba Mungu Hayupo au kama yupo basi ni mdhaifu.
Naku uliza hivi [emoji116]
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu na Dunia isiyo na Uovu wala ubaya?
Mungu mkuu,mjuzi wa vyote Hakutambua au Hakujua kwamba shetani na mapepo watakuja kuwepo kuwasumbua binadamu awazuie na kuwa dhibiti tangu mwanzo?
Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu, Je huyo Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Yupo?
Si kwamba shetani yupo au mapepo wapo au wanaweza kuthibitishika na kuonekana wapo,Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu. ko kumbe unajua kuwa shetani yupo? na unajua kuwa anakutesa ila hujui nan atakusaidia sio??
Umenifurahisha sana Kwa kusema ukweli. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hawa wanaojifanya manabii ni wezi kabisa, na wanawake huwaambii kitu kuwahusu hawa jamaa.Kipindi flani ndo Malisa anaingia ingia mwanza tuliwahi kumpeleka sista angu mmoja mimi na bi mkubwa.
Tumefika pale akaanza kuombewa mixa kufunikwa na vitambaa vyekundu, nkaanza kuona hapa usangoma huu.
Nkamshtua bi mkubwa ambae pia kanisa kwake hua n kwa manati na yeye akaniambia hapa ishakua jau.
Imefika mchana akamwambia sisteri, panda gari tukatafte chakula.
Ile tumeanza kuondoka nashangaa wale watumishi sijui wahudumu wanakuja kwa kasi wanakimbia kutufuata (kipindi hiyo kanisa lake lilikua mabondeni kule juu).
Mmh, nkawaza isije kua tumepita na sadaka.
Bi mdash akasimama wakafika wametweta jasho linatoka, akawauliza nini ngori?
Wakasema haifai kuondoka mda ule, bado kuna maprocess..
Bi mkubwa akawaka akawaambia nyie hamna akili, mnataka watu wafe na njaa? Sisi tunaenda kula kwanza af turudi tuendelee na sebene lenu.
Wakakosa pozi, ikabd wakubali tusepe.
Nkamuuliza bi mkubwa, umetoa sadaka?
Akaniambia sadaka ya nini pale wakat unaona mapicha picha mob?
Tukasepa moja kwa moja na sijawahi kurudi kwenye haya makanisa ya ufufuo sijui ufunuo.
All in all hawa jamaa wako kifedha zaidi so all their tactics sio kukomboa watu, bali ni kupiga noti as much as possible. Kila mtu akae chonjo..
Khaaa! [emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo haya. Nina binti mkubwa anasoma chuo fulani sasa siku moja walienda Mafinga na marafiki zake wawili. Jumapili moja wakasema waende kanisani wakaenda kanisa moja la nabii fulani hapo Mafinga.
Yule nabii akawaita mbele na kuanza kuwauliza. Nani ni mkubwa kati yenu. Wakatajana pale eti Nabii akaanza kuwatabiria kuwa huyu Mdogo wenu ndio amependwa na mizimu ya kwenu wakati sio ndio ni marafiki na wote wana wazazi tofauti.
Ikabidi wacheke kwani nabii anadanganya. Nabii akaanza kusema haya yanayocheka ni mapepo waliyonayo na sio wao. Huku Nyuma waamini wakaanza kuwaombea na kukemea Mapepo. Nabii akawawekea mkono na kuwaombea huku anawatuma waandike, wakakaza hawajaanguka ila Yule Mdogo akambana kwa nguvu kichwani na kumsukuma kwa kuwa alikuwa na viatu virefu akaanguka.
Rti alipoanguka Nabii akasema, Mizimu imemuachia so watoe sadaka ya Fungu la Kumi pamoja na zaka. Hahaaaaaaa, baada ya ibada kuisha wakaondoka bila kutoa hiyo sadaka. Jamaa sasa wana upuuzi mwingi sana.
Dah!! Nakumbuka Vipaumbele ktk ilani aliyotumia mzee Lowasa 2015. Kipaumbele cha kwanza mpaka cha tatu, ELIMU, ELIMU, ELIMUSawa jomba anaitaga hivyo wakati wa kutoa sadaka tu..lakini wakati wa kuombea anaombea wote kwa ujumla mpaka watu waliopo majumbani kwenye TV wanaombewa kama ni maji au mafuta..unataka kuniambia wale waliopo majumbani huwa wanatoa ngapi..unajua..?? Mbona nao pia wanaleta ushuhuda wa kufanikiwa Mambo yao..usipotoshe jomba kuwa na imani
So mwamposa anazuia hayo yote? Ukienda kwake suala la moyo kusimama (kufa) halipo? You. Brain washed sheeps hebu amkeni aseeJomba wewe ni mpagani hujui unaloongea....achana na Mambo ya Mungu..ishi kivyako..pepo wewe..hujui hata hiyo pumzi unaitoa wapi, hiyo sauti unayoongea unaitoa wapi,,nani kakupa...hujui wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa tukaenda kukufikia ardhini
I had an opportunity to meet him in person about two years ago. They respect and fear him like a god. They even loosen his shoe laces and remove his shoes for him. He just sat there. The rich get personal time to meet him and receive blessings. Its a business scheme not a real christian church.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mimi huwa simuelew hata kidogo huyu sijui watu wamelogwa na nini pale Kwa mwamposa.Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake.
1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana watoto na pengine hupelekea kukabwa usiku kwa waenda kwa miguu.
2.Kutokukemea dhambi, mimi ni mhudhuriaje mkubwa wa ibada kwa Mwamposa lakini skumbuk ni lini kakemea dhambi, ingawaje watu wanaenda pale wa kila aina, makahaba, malaya, wezi, mashoga n.k. Lakini mtumishi anadeal sana na kutoa baraka na upako pasipo kuhubiri amani,upendo,na maadili mema ukizingatia kuhusu jinamizi hili la ushoga, mtumishi ongelea ata hili tu kwa ufupi kanisa la mwamposa limekuwa kichaka cha watenda maovu, wanafurahia kutoongelewa. labda anahofia waumini kukimbia kanisa!?
3. Sadaka ni nyingi mmezipa majina mengi afu mnatoa baraka/upako kulingana na kipato cha mtu...yaan wewe mwenye elfu 5 unatofautishiwa baraka na yule mwenye kutoa elfu 50. Jambo hili linawafanya walio na kipato cha chini kujihisi wanyonge au kujihisi kupungukiwa na kitu..jambo hili binafsi linanikera na mnawapa adui zenu nafasi ya kupondea huduma hii.
4.Ukali(kufokewa).. mtumishi amekosa kauli ya kuwarekebisha watenda kazi wake pale wanapokosea amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwafokea mbele za watu na mbele ya kamera kama mtumishi unapaswa kuwa mtaratibu kukemea kwa hekima kwa kutambua wengine ni watu wazima wana familia zao...utasikia toa hyu apa wekeni mtu sahihi pale...walinzi,washika maiki, camera man, wanafanya kazi kwa hofu kubwa sanaaa..waondolee hofu wafanyakazi wako!
Ni hayo tu niliyobaini mimi..naomba yeyote mwenye uwezo wa kufikisha haya ayafikishe kwa namna yyte ilee.... lakini pamojaa na hayo nimepokea muujiza kupitia ibada yake mungu ambariki na ajirekebishe ili huduma iwe rafik kwa wengi! Ahsanten na samahani kwa uandishi mbovu.