Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupotosha jombaa! wote tunaonaga live anaita wenye 50k..... mpaka anaishia kuita wenye 5k mwisho apo.wenye chini ya buku tano wanaitwa kwenda mbele kumwagiwa mafuta!?Hapa sidhan kama ni kweli..anaombea wote kwa ujumla kila mmoja anafunguliwa kivyake kulingana na Imani yake..utoaji wa sadaka ni uwezo wa mtu na kuamua kutoa..hajawahi lazimishwa mtu kutoa asichokuwa nacho jomba..sijawah ona na Mimi ni mfuatiliaji sana wa haya Mambo..sadaka ni uwezo wako jomba
May be true [emoji1745]Siku ukichomwa na mwiba halafu hakuna anayeweza kukutoa ndo utajua mwampsa ni mtumishi wa mungu au laa ma ukiwa unakula na kushiba huwezi jua njaa huwa inaumaje siku ukiwa na shida nzito na hakuna msaada wa kibinadamu utamkumbuka mwamposa
maisha yangu yalibadilika ghafla yaani connection zilifunguka ghafla nikapata kibali kwa watu yaani kila napohtaj msaada kabla sijakuomba msaada ushanipa njia ya kupita. nikawa kila nikimsimlia mtu hayo anaishia kunambia kuwa nina nyota ya kupendwa na watu..sasa najiuliza swali kwann mwanzoni haikuwepo imekuja ghafla afu sikuwa ata namuamin hyu mwamposa na bado sina imani nae kivile! sasa wewe utanipa jibu je ni nini hiki ndio maana najikuta namkosoa kwa heshima naogopa isije ikawa napingana na nguvu ya mungu nikachapwa...bro amin usiamin nilikuwa naona giza kabisa about my future life but now namshukuru mungu naona mwanga! huo ndo ushuhuda wangu sasa ukinambia shetani ndo kanifungulia hayo nitakubali lakini sifa nishampa mungu...apo vp!muujiza gani uliopokea mwenzetu
Kama ni rahisi kwann wewe usifungue kanisa kaka tukuletee nawewe sadaka ujenge naww mahoteli kwan we hutaki hayo mahoteli!?Huyo mwamposa ni Tapeli na ataendelea kuwatapeli wajinga kama ninyi msio jielewa.
Kwamba una amini kabisa mwiba unaweza kutolewa kwa maombi?
Huna tofauti na wale waumini wa kenya waliokufa msituni Shakahola wakifunga huku mchungaji wao "Mackenzie" akila na kunywa.
Huyo mwamposa wenu anajenga mahoteli kwa hela zenu ninyi wajinga msiojitambua.
Kujenga mahoteli si lazima uwe mchungaji au uwe na kanisa point hapa ni kwamba,Kama ni rahisi kwann wewe usifungue kanisa kaka tukuletee nawewe sadaka ujenge naww mahoteli kwan we hutaki hayo mahoteli!?
Acha kupotosha jombaa! wote tunaonaga live anaita wenye 50k..... mpaka anaishia kuita wenye 5k mwisho apo.wenye chini ya buku tano wanaitwa kwenda mbele kumwagiwa mafuta!?
Sawa jomba anaitaga hivyo wakati wa kutoa sadaka tu..lakini wakati wa kuombea anaombea wote kwa ujumla mpaka watu waliopo majumbani kwenye TV wanaombewa kama ni maji au mafuta..unataka kuniambia wale waliopo majumbani huwa wanatoa ngapi..unajua..?? Mbona nao pia wanaleta ushuhuda wa kufanikiwa Mambo yao..usipotoshe jomba kuwa na imaniAcha kupotosha jombaa! wote tunaonaga live anaita wenye 50k..... mpaka anaishia kuita wenye 5k mwisho apo.wenye chini ya buku tano wanaitwa kwenda mbele kumwagiwa mafuta!?
Hapo poa. Nenda ukafunguliwe kwa jina la Yesu..usiache kusali na kuabudumaisha yangu yalibadilika ghafla yaani connection zilifunguka ghafla nikapata kibali kwa watu yaani kila napohtaj msaada kabla sijakuomba msaada ushanipa njia ya kupita. nikawa kila nikimsimlia mtu hayo anaishia kunambia kuwa nina nyota ya kupendwa na watu..sasa najiuliza swali kwann mwanzoni haikuwepo imekuja ghafla afu sikuwa ata namuamin hyu mwamposa na bado sina imani nae kivile! sasa wewe utanipa jibu je ni nini hiki ndio maana najikuta namkosoa kwa heshima naogopa isije ikawa napingana na nguvu ya mungu nikachapwa...bro amin usiamin nilikuwa naona giza kabisa about my future life but now namshukuru mungu naona mwanga! huo ndo ushuhuda wangu sasa ukinambia shetani ndo kanifungulia hayo nitakubali lakini sifa nishampa mungu...apo vp!
Jomba wewe ni mpagani hujui unaloongea....achana na Mambo ya Mungu..ishi kivyako..pepo wewe..hujui hata hiyo pumzi unaitoa wapi, hiyo sauti unayoongea unaitoa wapi,,nani kakupa...hujui wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa tukaenda kukufikia ardhiniKujenga mahoteli si lazima uwe mchungaji au uwe na kanisa point hapa ni kwamba,
Kama makanisa lengo lake ni kuhubiri neno la Mungu kwa nini kuwepo na kipengele cha Sadaka?
Mungu muweza wa vyote anahitaji sadaka ya nini? Wakati yeye ana uwezo wa vyote?
Kanisa ni sehemu ya matapeli kupata pesa za wajinga wasio jitambua kwa jina la "Sadaka"
Watu mnadanganywa kwamba mtolee Mungu sadaka ,lakini hela hizo zina mnufaisha mchungaji wenu, Ninyi mkibaki na ufukara wenu.
Hahaha jomba unataka kuniambia walio na buku pale hawajawahi pata mafanikio...??? Inawezekana anawaonea huruma wenye vipato vidogo lakini hajasema hao hawapati baraka...wanapata wengi tena inawezekana hao ndio wanainuliwa zaidi..nenda kafanye reseachMkuu hafiki kwenye buku, mwisho ni buku tano! kama unayo chini ya buku tano hupati hizo baraka
Hata wewe wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa ukafa vilevile.Jomba wewe ni mpagani hujui unaloongea....achana na Mambo ya Mungu..ishi kivyako..pepo wewe..hujui hata hiyo pumzi unaitoa wapi, hiyo sauti unayoongea unaitoa wapi,,nani kakupa...hujui wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa tukaenda kukufikia ardhini
Heheheeh pepo wewee..!!!kwahiyo Mungu angekuwepo tusingekufa..?hivyo ndivyo mlivyokubaliana nae sio jomba..Mungu akurehemu na akusamehe kwakuwa hujui ulitendaloHata wewe wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa ukafa vilevile.
Ungekuwa wewe hauwezi kufa, kidogo ninge amini Mungu yupo.
Ila Mungu hayupo ndio maana tunakufa.
Hata uwepo wa mapepo na shetani ni uthibitisho wa kwamba Mungu Hayupo au kama yupo basi ni mdhaifu.Heheheeh pepo wewee..!!!kwahiyo Mungu angekuwepo tusingekufa..?hivyo ndivyo mlivyokubaliana nae sio jomba..Mungu akurehemu
God is omnipresent, omnipotent, omnisapien, alpha and omega, conquerer of devil, our saviour, symbol of infinity, mwanzo na mwisho..Hata uwepo wa mapepo na shetani ni uthibitisho wa kwamba Mungu Hayupo au kama yupo basi ni mdhaifu.
Naku uliza hivi [emoji116]
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu na Dunia isiyo na Uovu wala ubaya?
Mungu mkuu,mjuzi wa vyote Hakutambua au Hakujua kwamba shetani na mapepo watakuja kuwepo kuwasumbua binadamu awazuie na kuwa dhibiti tangu mwanzo?
Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu, Je huyo Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Yupo?
Hahah huo ni mpango wa kanisa kusaidia masikini..hua ipo hiyo ...kwanini usitoe ushauri kanisani kwako wakaanzisha..waamuzi si nyie wenyewe.. kanisa Lina viongozi ambao hawana biashara nyingine zaidi ya kusimamia waamini kimaadili ya kanisa na kuwarudisha kondoo waliopotea katika dhambi.. unadhani wataishije na familia zao Hawa..lakini Mungu ameagiza toa fungu la kumi la kila mapato yako ambalo utalipeleka huwahudumia wachungaji na makuhani..hiyo ni sadaka pia...utakuwa umebarikiwa wewe na uzao wako na kazi zako zote Inazokupa kipato hichoKatika vitu ambavyo Mimi sielewi,ni kwanini makanisa mengi Yana mlolongo wa sadaka,ikimaanisha sisi tunatoa pesa kufanikisha mipango ya kanisa,na unakuta michango inatolewa pia ili kutengeneza miradi ya kanisa,na sahisi hapa ninaposali wanataka kutengeza kabisa jingine eneo Hilo Hilo la billions of money,kwa michango yetu Sasa ivi kwanin kanisa halisaiidii waumini wake ambao wanahitaji usahidizi hasa kifedha,labda kuwa saidia wale wajasiliamali kuwainua,labda huyu ofisi yake anahitaji friji ili auze barafu,kujiinua kiuchumi angalau kwa mwaka watu wawili tu
If God conquered the Devil why there are still Evils in the world?God is omnipresent, omnipotent, omnisapien, alpha and omega, conquerer of devil, our saviour, symbol of infinity, mwanzo na mwisho..
Hiyo ni Siri yake nani kakwambia umuhoji Mungu, wewe alikuumba ukazaliwa, ishi utakavyo lakini Mtukuze yeye alieshikilia pumzi yako, then ukajifie kule uzikwe siku zako ambazo Mungu amekupangia kuishi Duniani. Sijui umenisoma..the theology behind everything is with God himself..If God conquered the Devil why there are still Evils in the world?
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na Uovu wala ubaya?
Angalau,Hiyo ni Siri yake nani kakwambia umuhoji Mungu, wewe alikuumba ukazaliwa, ishi utakavyo lakini Mtukuze yeye alieshikilia pumzi yako, then ukajifie kule uzikwe siku zako ambazo Mungu amekupangia kuishi Duniani. Sijui umenisoma