Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Hapa sidhan kama ni kweli..anaombea wote kwa ujumla kila mmoja anafunguliwa kivyake kulingana na Imani yake..utoaji wa sadaka ni uwezo wa mtu na kuamua kutoa..hajawahi lazimishwa mtu kutoa asichokuwa nacho jomba..sijawah ona na Mimi ni mfuatiliaji sana wa haya Mambo..sadaka ni uwezo wako jomba
Acha kupotosha jombaa! wote tunaonaga live anaita wenye 50k..... mpaka anaishia kuita wenye 5k mwisho apo.wenye chini ya buku tano wanaitwa kwenda mbele kumwagiwa mafuta!?
 
Siku ukichomwa na mwiba halafu hakuna anayeweza kukutoa ndo utajua mwampsa ni mtumishi wa mungu au laa ma ukiwa unakula na kushiba huwezi jua njaa huwa inaumaje siku ukiwa na shida nzito na hakuna msaada wa kibinadamu utamkumbuka mwamposa
May be true [emoji1745]
 
muujiza gani uliopokea mwenzetu
maisha yangu yalibadilika ghafla yaani connection zilifunguka ghafla nikapata kibali kwa watu yaani kila napohtaj msaada kabla sijakuomba msaada ushanipa njia ya kupita. nikawa kila nikimsimlia mtu hayo anaishia kunambia kuwa nina nyota ya kupendwa na watu..sasa najiuliza swali kwann mwanzoni haikuwepo imekuja ghafla afu sikuwa ata namuamin hyu mwamposa na bado sina imani nae kivile! sasa wewe utanipa jibu je ni nini hiki ndio maana najikuta namkosoa kwa heshima naogopa isije ikawa napingana na nguvu ya mungu nikachapwa...bro amin usiamin nilikuwa naona giza kabisa about my future life but now namshukuru mungu naona mwanga! huo ndo ushuhuda wangu sasa ukinambia shetani ndo kanifungulia hayo nitakubali lakini sifa nishampa mungu...apo vp!
 
Huyo mwamposa ni Tapeli na ataendelea kuwatapeli wajinga kama ninyi msio jielewa.

Kwamba una amini kabisa mwiba unaweza kutolewa kwa maombi?

Huna tofauti na wale waumini wa kenya waliokufa msituni Shakahola wakifunga huku mchungaji wao "Mackenzie" akila na kunywa.

Huyo mwamposa wenu anajenga mahoteli kwa hela zenu ninyi wajinga msiojitambua.
Kama ni rahisi kwann wewe usifungue kanisa kaka tukuletee nawewe sadaka ujenge naww mahoteli kwan we hutaki hayo mahoteli!?
 
Ina maana Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Hajui shida na matatizo yako hadi utoe sadaka ndio afahamu shida zako na kujibu sala zako?

Kwamba, Mungu anahitaji sadaka ili ajibu sala za watu?
Fact
 
Kama ni rahisi kwann wewe usifungue kanisa kaka tukuletee nawewe sadaka ujenge naww mahoteli kwan we hutaki hayo mahoteli!?
Kujenga mahoteli si lazima uwe mchungaji au uwe na kanisa point hapa ni kwamba,

Kama makanisa lengo lake ni kuhubiri neno la Mungu kwa nini kuwepo na kipengele cha Sadaka?

Mungu muweza wa vyote anahitaji sadaka ya nini? Wakati yeye ana uwezo wa vyote?

Kanisa ni sehemu ya matapeli kupata pesa za wajinga wasio jitambua kwa jina la "Sadaka"

Watu mnadanganywa kwamba mtolee Mungu sadaka ,lakini hela hizo zina mnufaisha mchungaji wenu, Ninyi mkibaki na ufukara wenu.
 
Acha kupotosha jombaa! wote tunaonaga live anaita wenye 50k..... mpaka anaishia kuita wenye 5k mwisho apo.wenye chini ya buku tano wanaitwa kwenda mbele kumwagiwa mafuta!?

Acha kupotosha jombaa! wote tunaonaga live anaita wenye 50k..... mpaka anaishia kuita wenye 5k mwisho apo.wenye chini ya buku tano wanaitwa kwenda mbele kumwagiwa mafuta!?
Sawa jomba anaitaga hivyo wakati wa kutoa sadaka tu..lakini wakati wa kuombea anaombea wote kwa ujumla mpaka watu waliopo majumbani kwenye TV wanaombewa kama ni maji au mafuta..unataka kuniambia wale waliopo majumbani huwa wanatoa ngapi..unajua..?? Mbona nao pia wanaleta ushuhuda wa kufanikiwa Mambo yao..usipotoshe jomba kuwa na imani
 
maisha yangu yalibadilika ghafla yaani connection zilifunguka ghafla nikapata kibali kwa watu yaani kila napohtaj msaada kabla sijakuomba msaada ushanipa njia ya kupita. nikawa kila nikimsimlia mtu hayo anaishia kunambia kuwa nina nyota ya kupendwa na watu..sasa najiuliza swali kwann mwanzoni haikuwepo imekuja ghafla afu sikuwa ata namuamin hyu mwamposa na bado sina imani nae kivile! sasa wewe utanipa jibu je ni nini hiki ndio maana najikuta namkosoa kwa heshima naogopa isije ikawa napingana na nguvu ya mungu nikachapwa...bro amin usiamin nilikuwa naona giza kabisa about my future life but now namshukuru mungu naona mwanga! huo ndo ushuhuda wangu sasa ukinambia shetani ndo kanifungulia hayo nitakubali lakini sifa nishampa mungu...apo vp!
Hapo poa. Nenda ukafunguliwe kwa jina la Yesu..usiache kusali na kuabudu
 
Kujenga mahoteli si lazima uwe mchungaji au uwe na kanisa point hapa ni kwamba,

Kama makanisa lengo lake ni kuhubiri neno la Mungu kwa nini kuwepo na kipengele cha Sadaka?

Mungu muweza wa vyote anahitaji sadaka ya nini? Wakati yeye ana uwezo wa vyote?

Kanisa ni sehemu ya matapeli kupata pesa za wajinga wasio jitambua kwa jina la "Sadaka"

Watu mnadanganywa kwamba mtolee Mungu sadaka ,lakini hela hizo zina mnufaisha mchungaji wenu, Ninyi mkibaki na ufukara wenu.
Jomba wewe ni mpagani hujui unaloongea....achana na Mambo ya Mungu..ishi kivyako..pepo wewe..hujui hata hiyo pumzi unaitoa wapi, hiyo sauti unayoongea unaitoa wapi,,nani kakupa...hujui wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa tukaenda kukufikia ardhini
 
Mkuu hafiki kwenye buku, mwisho ni buku tano! kama unayo chini ya buku tano hupati hizo baraka
Hahaha jomba unataka kuniambia walio na buku pale hawajawahi pata mafanikio...??? Inawezekana anawaonea huruma wenye vipato vidogo lakini hajasema hao hawapati baraka...wanapata wengi tena inawezekana hao ndio wanainuliwa zaidi..nenda kafanye reseach
 
Jomba wewe ni mpagani hujui unaloongea....achana na Mambo ya Mungu..ishi kivyako..pepo wewe..hujui hata hiyo pumzi unaitoa wapi, hiyo sauti unayoongea unaitoa wapi,,nani kakupa...hujui wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa tukaenda kukufikia ardhini
Hata wewe wakati wowote moyo wako unaweza simamishwa ukafa vilevile.

Ungekuwa wewe hauwezi kufa, kidogo ninge amini Mungu yupo.

Ila Mungu hayupo ndio maana tunakufa.
 
Heheheeh pepo wewee..!!!kwahiyo Mungu angekuwepo tusingekufa..?hivyo ndivyo mlivyokubaliana nae sio jomba..Mungu akurehemu na akusamehe kwakuwa hujui ulitendalo
 
Heheheeh pepo wewee..!!!kwahiyo Mungu angekuwepo tusingekufa..?hivyo ndivyo mlivyokubaliana nae sio jomba..Mungu akurehemu
Hata uwepo wa mapepo na shetani ni uthibitisho wa kwamba Mungu Hayupo au kama yupo basi ni mdhaifu.

Naku uliza hivi [emoji116]

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu na Dunia isiyo na Uovu wala ubaya?

Mungu mkuu,mjuzi wa vyote Hakutambua au Hakujua kwamba shetani na mapepo watakuja kuwepo kuwasumbua binadamu awazuie na kuwa dhibiti tangu mwanzo?

Badala yake shetani na mapepo wapo na wana sumbua binadamu, Je huyo Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Yupo?
 
Katika vitu ambavyo Mimi sielewi,ni kwanini makanisa mengi Yana mlolongo wa sadaka,ikimaanisha sisi tunatoa pesa kufanikisha mipango ya kanisa,na unakuta michango inatolewa pia ili kutengeneza miradi ya kanisa,na sahisi hapa ninaposali wanataka kutengeza kabisa jingine eneo Hilo Hilo la billions of money,kwa michango yetu Sasa ivi kwanin kanisa halisaiidii waumini wake ambao wanahitaji usahidizi hasa kifedha,labda kuwa saidia wale wajasiliamali kuwainua,labda huyu ofisi yake anahitaji friji ili auze barafu,kujiinua kiuchumi angalau kwa mwaka watu wawili tu
 
God is omnipresent, omnipotent, omnisapien, alpha and omega, conquerer of devil, our saviour, symbol of infinity, mwanzo na mwisho..
 
Hahah huo ni mpango wa kanisa kusaidia masikini..hua ipo hiyo ...kwanini usitoe ushauri kanisani kwako wakaanzisha..waamuzi si nyie wenyewe.. kanisa Lina viongozi ambao hawana biashara nyingine zaidi ya kusimamia waamini kimaadili ya kanisa na kuwarudisha kondoo waliopotea katika dhambi.. unadhani wataishije na familia zao Hawa..lakini Mungu ameagiza toa fungu la kumi la kila mapato yako ambalo utalipeleka huwahudumia wachungaji na makuhani..hiyo ni sadaka pia...utakuwa umebarikiwa wewe na uzao wako na kazi zako zote Inazokupa kipato hicho
 
God is omnipresent, omnipotent, omnisapien, alpha and omega, conquerer of devil, our saviour, symbol of infinity, mwanzo na mwisho..
If God conquered the Devil why there are still Evils in the world?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na Uovu wala ubaya?
 
Hiyo ni Siri yake nani kakwambia umuhoji Mungu, wewe alikuumba ukazaliwa, ishi utakavyo lakini Mtukuze yeye alieshikilia pumzi yako, then ukajifie kule uzikwe siku zako ambazo Mungu amekupangia kuishi Duniani. Sijui umenisoma..the theology behind everything is with God himself..
 
Hiyo ni Siri yake nani kakwambia umuhoji Mungu, wewe alikuumba ukazaliwa, ishi utakavyo lakini Mtukuze yeye alieshikilia pumzi yako, then ukajifie kule uzikwe siku zako ambazo Mungu amekupangia kuishi Duniani. Sijui umenisoma
Angalau,

Mungu Angekuwepo ingewezekana kumuhoji kuondoa utata wa uwepo wake na angeondoa utata wa kuto kuwepo kwake kwa kujidhihirisha kwa binadamu wote kuamini Yeye yupo,

Lakini Mungu Hayupo ndio maana hata wewe huwezi kumuhoji na huwezi kuthibitisha uwepo wake,
Kwa vile HAYUPO.
 
Back
Top Bottom