Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
Kakutapeli nini?Mwamposa mwenyewe Tapeli
Tapeli wa kila kitu kwanzia kujiita NabiiKakutapeli nini?
Japo unachokisema ni kweli. Ila tuambie ukichotapeliwa ili tukuomber
Akawape kabisa mafuta ya upakoKwa hiyo wakifanikiwa kupindua meza siku hiyo, sifa zote ni kwa Mwamposa!
Noma sana!Haya sasa mzee wa fursa kavamia na mpira.
Makuzi yanakusumbua, ukishakuwa utajionea aibu mwenyeweNiliwahi kusema Simba ndiyo mlango wa ustaarabu kwenye mpira wa Tanzania. Yenyewe inaanza halafu wengine wanafuata.
Msimu huu Simba inaenda kuua biashara ya makomandoo wa kulinda viwanja kabla ya derby na sasa inaenda kuua biashara ya ushirikina ikiwemo yale mambo ya kuruka ukuta.
hehe!sasa ile timu ya majini itakuwaje🤣🤣🤣.watashuka daraja
Nacheeeka. Kuna washirika wapo kanisani na ushirikina hawajaacha ndio ushirikina utoke kwenye mpira kwa kualikwa 🤣🤣🤣🤣🤣. Tena Yanga na Simba zenye kamati za ufundi zikilipwa kabisa🤣🤣🤣🤣"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea