Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
Ko umesahau gadriel maiko wakati yupo simba alivyo kamatwa pale sokoine alipoenda kufanya mambo zake mchana kweupe? Na ile ya kagere umeisahau? Be care usionge hovyoNiliwahi kusema Simba ndiyo mlango wa ustaarabu kwenye mpira wa Tanzania. Yenyewe inaanza halafu wengine wanafuata.
Msimu huu Simba inaenda kuua biashara ya makomandoo wa kulinda viwanja kabla ya derby na sasa inaenda kuua biashara ya ushirikina ikiwemo yale mambo ya kuruka ukuta.