NdiyoAlimtapeli mama yako ?
Wanasafisha au wanajisafisha na wao,,iyo mitego mliyowawekea waarabu inakufa kifo cha kawaida na amtoamini kuwa mwakarobo ndio jadi yenuMakafara yaliyopo tunayaondoa ni Yale yaliyowekwa na yanga wakati wa derby, kwa Sasa Simba wanafanya kusafisha Tu.
Wazee wenu siku ya nne leo wameweka kambi uwanja wa Mkapa! Eti wanataka Meneja wa uwanja aondoke! Wanataka kufanya nini akiondoka?Yaani una akili zako timamu unasikiliza propaganda za Manara, mtu huyo huyo aliyesema wenye akili Yanga nzima ni wawili tu.