Mwamposa: Nuru imeingia kwenye mpira wa nchi hii, ushirikina lazima ufe

Ko umesahau gadriel maiko wakati yupo simba alivyo kamatwa pale sokoine alipoenda kufanya mambo zake mchana kweupe? Na ile ya kagere umeisahau? Be care usionge hovyo
 
Makuzi yanakusumbua, ukishakuwa utajionea aibu mwenyewe


Ko umesahau gadriel maiko wakati yupo simba alivyo kamatwa pale sokoine alipoenda kufanya mambo zake mchana kweupe? Na ile ya kagere umeisahau? Be care usionge hovyo
Ni jambo la kushangaza sana kuona watu wanashupaza shingo na kupata visonono wanapoona "mtu" ameamua kufuata njia iliyo njema. Badala ya kupongeza mnakebehi, tusi na kupinga. Kwani nyie ni wakala wa shetani?
 
"Wakazane Kufanya Mazoezi,Nao Watakazana Kuwaombea"Lugha Ya Kimkakati Hii
 
Yaani kina Ahmed, Mohamed wamekimbilia kwa nabii sio shekhe
 
Ni jambo la kushangaza sana kuona watu wanashupaza shingo na kupata visonono wanapoona "mtu" ameamua kufuata njia iliyo njema. Badala ya kupongeza mnakebehi, tusi na kupinga. Kwani nyie ni wakala wa shetani?
Mim nakumbushia matukio yaliyotokea
 
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea

Kusema kweli hakuna.kitu nisichopenda kama ulozi kwenye soka.

Mchezaji anarogwa asicheze kwa uwezo wake kisa kuna watu wanaumia kwa mafanikio ya wengine.

Timu inasajili kwa gharama kubwa,inalipa mishahara mikubwa anakuja mtu amekunja roho anapambana na wachezaji waugue siku ya mechi.Huu ni upuuzi mkubwa
 
Mim nakumbushia matukio yaliyotokea
Kwani matukio hayo yaliyotokea yanaondoa ukweli wa hicho nilichosema? Kwani tukisema Simba ndiyo timu ya kwanza Tanzania kuvaa viatu tunamaanisha yenyewe haikuwahi kucheza peku?
 
Kuna mtu alisema ety kampeleka mama yake ujerumani huku tukiuziwa maji na mafuta
 
Kwani matukio hayo yaliyotokea yanaondoa ukweli wa hicho nilichosema? Kwani tukisema Simba ndiyo timu ya kwanza Tanzania kuvaa viatu tunamaanisha yenyewe haikuwahi kucheza peku?
nadhani hatujaelewana tuishie hapo
 
Ustaarabu huu wa kufanya ushirikina ugenini na kuchoma moto viwanja vya watu? Au unaongelea ustaarabu gani wewe kolo?
 
Hatari sana 👿 je watafanikiwa??
 
Akiwapa mafuta ya upako watakuwa wamejiroga wenyewe maana yataenda kuteketeza makafara yao watakayolala wanayaweka uwanjani siku iyo na watajikuta Wanazabuliwa ipasavyo na Al masry maana nguvu yao imebaki kutegemea ushirikina ili kuvuka na sio wachezaji wao!
 
Tena mmejipiga risasi mguuni,,acha akateketeze makafara mliyoyaweka uwanjani na faida atakuwa nayo Al masry sababu mlichobakiza kukitegemea kiwavushe ni ushirikina tu na sio uwezo wa timu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…