DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Povu lote hilo kisa "mtu" ameamua kumtegemea Mungu. Ni ama akili zimekuruka au una wivu na chuki iliyopitiliza.Tena mmejipiga risasi mguuni,,acha akateketeze makafara mliyoyaweka uwanjani na faida atakuwa nayo Al masry sababu mlichobakiza kukitegemea kiwavushe ni ushirikina tu na sio uwezo wa timu yenu
Ritual ni nini? Mimi sijuiCAF waliitafsiri hilo tukio kama kufanya "ritual". Tafuta dictionary uangalie tafsiri ya ritual ni nini. Hakuna ushirikina unaofanywa waziwqzi kama hivyo.
MunguKwa hiyo wakifanikiwa kupindua meza siku hiyo, sifa zote ni kwa Mwamposa!
Wivu tuwaonee Simba? Unaota au? Unamtegemea mungu wakati huo huo unafanya ushirikina? Ulishaona wapi vitu vya namna iyoPovu lote hilo kisa "mtu" ameamua kumtegemea Mungu. Ni ama akili zimekuruka au una wivu na chuki iliyopitiliza.
Upo mtandaoni, tafuta maana ya "ritual"Ritual ni nini? Mimi sijui
Kama ritual haina shida kwanini mlipigwa faini?
Najua utasema mliwasha moto uwanjani kwanini muwashe moto uwanjani? Mlishindwa kuwasha moto kabla ya kuingia katika ground?
Niambie sababu gani iliwapelekea kuwasha moto?
Shida ni nini mbona kama unataka kupasuka kwa shinikizo la moyo kisa tu umesikia Simba imemualika Mwamposa?Wivu tuwaonee Simba? Unaota au? Unamtegemea mungu wakati huo huo unafanya ushirikina? Ulishaona wapi vitu vya namna iyo
Shida aipo ngoja tuone mwamposa anavyowavusha si tupo hapaShida ni nini mbona kama unataka kupasuka kwa shinikizo la moyo kisa tu umesikia Simba imemualika Mwamposa?
Nyie si ndo mlichoma uwanja kule South au???Niliwahi kusema Simba ndiyo mlango wa ustaarabu kwenye mpira wa Tanzania. Yenyewe inaanza halafu wengine wanafuata.
Msimu huu Simba inaenda kuua biashara ya makomandoo wa kulinda viwanja kabla ya derby na sasa inaenda kuua biashara ya ushirikina ikiwemo yale mambo ya kuruka ukuta.
Mwamba sadaka zimepungua amehamishia majeshi huku."Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
Waza pia wakashindwa kufuzu itakuajeKwa hiyo wakifanikiwa kupindua meza siku hiyo, sifa zote ni kwa Mwamposa!
Bora Hawa wanakimbilia kwa watumishi wa Mungu kuliko nyie Ambao Mnawazuia wenzenu wasifanye mazoezi kisa mnazindika Uwanja.Hakika makolo wamechanganyikiwa ...wanatapatapa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
😅😅😅hii nchi kila kitu kinaenda kuzaliwa upya.Dini na mpira wapi na wapi
Katika timu ya mpira kuna waislamu,wakristo,na wasio na imani, tangu lini waislamu waende kwenye upako,tangu lini mpagani aende kanisani, kila siku tunahubiri ukabila,udini,ukana,rangi,lakini sisi huku michezoni tunapromote hivyo.
Uacheni mpira ujiendeshe wenyewe. Kama hatutambui imani za kishirikina basi hata maswala ya mwamposa tusiyatambue,yawe ya mtu mmoja mmoja. Tanzania tusikubali kugawanywa kwa misingi ya dini,kabila,rangi,kanda,cheo au namna yeyote ile.
Sasa kama mmeamua kumtegemea Mungu, mbona wale wazee wenu wanataka Meneja wa uwanja wa Taifa aondolewe! Leo ni siku ya 4 wanasema wameweka kambi kwenye uwanja wa Mkapa! Wana shida gani naye mpaka leo?Povu lote hilo kisa "mtu" ameamua kumtegemea Mungu. Ni ama akili zimekuruka au una wivu na chuki iliyopitiliza.
ndio maana yakeKwa hiyo wakifanikiwa kupindua meza siku hiyo, sifa zote ni kwa Mwamposa!
Yaani una akili zako timamu unasikiliza propaganda za Manara, mtu huyo huyo aliyesema wenye akili Yanga nzima ni wawili tu.Sasa kama mmeamua kumtegemea Mungu, mbona wale wazee wenu wanataka Meneja wa uwanja wa Taifa aondolewe! Leo ni siku ya 4 wanasema wameweka kambi kwenye uwanja wa Mkapa! Wana shida gani naye mpaka leo?
Au ni kwa sababu aliwazuia ule usiku wa kuamkia ile derby kuingia uwanjani na mbuzi?
sio kwamba wewe fukara ndio.umechanganyikiwaHakika makolo wamechanganyikiwa ...wanatapatapa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unaweza vipi kutenganisha yanga na majini wapenda damu ? Kule tabora mlichinja ng'ombe 40 kwa ajili ya tabora united..Ivi unaweza vip kutenganisha Simba na Ushirikina!! Ikiwa waliweza kufanya ushirikina nje ya nchi tena wazi kabisa bila uoga wala aibu inakuaje uko tusipo weza kuona?
Miaka karibia yote kwenye ligi Simba ina tozwa fain zitokanazo na makosa ya kishirikina.
Timu mbovu ya Simba mpaka kufikia hatua iyo ni sababu za shirki tu na si soka, unaweza je kufikia hatua iyo kwa wachezaji kama Kibu, Ateba na Ahoa?
Makafara yaliyopo tunayaondoa ni Yale yaliyowekwa na yanga wakati wa derby, kwa Sasa Simba wanafanya kusafisha Tu.Akiwapa mafuta ya upako watakuwa wamejiroga wenyewe maana yataenda kuteketeza makafara yao watakayolala wanayaweka uwanjani siku iyo na watajikuta Wanazabuliwa ipasavyo na Al masry maana nguvu yao imebaki kutegemea ushirikina ili kuvuka na sio wachezaji wao!
Alimtapeli mama yako ?Mwamposa mwenyewe Tapeli