Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 7, 2025 #61 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Apr 7, 2025 #62 Yoso said: Alimtapeli mama yako ? Click to expand... Ndiyo
M Makavuli JF-Expert Member Joined Aug 27, 2024 Posts 1,953 Reaction score 2,536 Apr 7, 2025 #63 felakuti said: Makafara yaliyopo tunayaondoa ni Yale yaliyowekwa na yanga wakati wa derby, kwa Sasa Simba wanafanya kusafisha Tu. Click to expand... Wanasafisha au wanajisafisha na wao,,iyo mitego mliyowawekea waarabu inakufa kifo cha kawaida na amtoamini kuwa mwakarobo ndio jadi yenu
felakuti said: Makafara yaliyopo tunayaondoa ni Yale yaliyowekwa na yanga wakati wa derby, kwa Sasa Simba wanafanya kusafisha Tu. Click to expand... Wanasafisha au wanajisafisha na wao,,iyo mitego mliyowawekea waarabu inakufa kifo cha kawaida na amtoamini kuwa mwakarobo ndio jadi yenu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 7, 2025 #64 SAYVILLE said: Yaani una akili zako timamu unasikiliza propaganda za Manara, mtu huyo huyo aliyesema wenye akili Yanga nzima ni wawili tu. Click to expand... Wazee wenu siku ya nne leo wameweka kambi uwanja wa Mkapa! Eti wanataka Meneja wa uwanja aondoke! Wanataka kufanya nini akiondoka?
SAYVILLE said: Yaani una akili zako timamu unasikiliza propaganda za Manara, mtu huyo huyo aliyesema wenye akili Yanga nzima ni wawili tu. Click to expand... Wazee wenu siku ya nne leo wameweka kambi uwanja wa Mkapa! Eti wanataka Meneja wa uwanja aondoke! Wanataka kufanya nini akiondoka?