Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali,

Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami?

Angalia hii clip Mwamposa akipngea.

Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.

​
 
Hizo sarakasi mfano wa Hayati John kujenga Msikiti Kino Klein.
Sema yeye aliomba msaada kwa mwarabu wa Morocco.
Hizi mambo ni kutengeneza taswira ya hakuna udini.
Siyo mbaya lakini.
Angejenga Msikiti tungemshambulia sababu ya dini yake.
 
Sidhani kama anasema ukweli, serikali hii ya kujenga vyoo vya shule kwa Tsh 10 Mlln wakasema wemejenga kwa 300 Mlln ndio watoe pesa Tena billions kujenga kabisa la mtu nyeeeee
 
imelipia kwa maana vinakuja bila kodi, sio hivyo katka ngo, makanisa namsikiti yote havina importy duty wala VAT,
 
Hizo sarakasi mfano wa Hayati John kujenga Msikiti Kino Klein.
Sema yeye aliomba msaada kwa mwarabu wa Morocco.
Hizi mambo ni kutengeneza taswira ya hakuna udini.
Siyo mbaya lakini.
Angejenga Msikiti tungemshambulia sababu ya dini yake.
Nakumbuka kuna sehemu alijenga Dodoma
 
Kuna jambo nyuma ya pazia! Sijui kwanini ninawaza sana kuhusu illum......
Hakuna jambo lolote nyuma ya pazia, isipokuwa ni kwamba huyu bwana anawafuasi wengi na kwa mujibu wa imani ya hawa wafuasi anachosrma mtume ndicho wanachofuata, kwa hali hivyo serikali na wanasiasa lazima wajisogeze hapo ili wafuasi wa mtume moja kwa moja watakuwa wafuasi wao pia kwa utaratibu wa kutii bila kuhoji.
 
Nimemsikia Rais leo akiongea kauli inayokaribiana na hii, amesema tafsiri ya kulipiwa ni kile kitendo cha kupewa misamaha ya kodi.

Alichosema ni kwamba, hivyo vitu vilitakiwa kulipiwa kodi ili hiyo pesa itakayopatikana ikatumike kwenye maendeleo, kama haijalipwa maana yake serikali inatakiwa ichukue fungu jingine kufidia hapo kwenye msamaha.

Lakini pia amesema hivyo vitu haviingizwi bure kabisa, inalazimu serikali iweke mkono wake kwenye gharama za upokeaji, utunzaji na uondoshaji bandarini na kwenye maghala.
 
Hakuna jambo lolote nyuma ya pazia, isipokuwa ni kwamba huyu bwana anawafuasi wengi na kwa mujibu wa imani ya hawa wafuasi anachosrma mtume ndicho wanachofuata, kwa hali hivyo serikali na wanasiasa lazima wajisogeze hapo ili wafuasi wa mtume moja kwa moja watakuwa wafuasi wao pia kwa utaratibu wa kutii bila kuhoji.
Wafuasi wake wapi Dar tu,na hawazidi hata laki moja.
 
Wafuasi wake wapi Dar tu,na hawazidi hata laki moja.
Wafuasi ni wengi tu Nchi nzima, hapo serikali imeshafanya hesabu zake. Ndiyo maana imewakusanya manabii wote pamoja na kuwapa nafasi kila mmoja apite mbele na ongea ili waweze kuonekana na wafuasi wao.
 
Mleta mada kasikiliza kilichosemwa na kuelewa kweli?
 
Back
Top Bottom