Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

Wafuasi wake wapi Dar tu,na hawazidi hata laki moja.
Wewe huyu jamaa ana watu wengi sana mikoani,wanamfuatilia kupitia TV,akisemacho ndo hukifuata......refer janga la moshi mjini 2019 uwanja ulikuwa umefurika watu
 
Ni msamaha upo siku nyingi kwenye kodi ikiwa ni vitu vya kutangaza kazi ya Mungu. Viwe vya waislamu au wakristo. Ili mradi uwe umesajiliwa na msajili wa hazina. Nahisi siku hizi Kuna abuse kubwa ni heri ungeondolewa. Labda tungepata kodi ya udhuru wa forodha, excise duty na ongezeko la thamani. Sadaka na zaka tu zingebaki na msamaha. Manunuzi yangekatwa kodi kuchangia maendeleo
 
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali,

Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami?

Angalia hii clip Mwamposa akipngea.

Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.


..🤣🤣

..toka lini serikali ikailipa ushuru TRA?

..TRA kazi yake kukusanya fedha[ ushuru ] na kuzipeleka serikalini.

..sasa ikitokea serikali inailipa TRA ushuru, halafu TRA nayo inakusanya ushuru na kuilipa serikali, huo hautakuwa mduara wa kijinga kabisa?
 
Dondosha Gwajima, Pandisha Mwamposya. Piga kijembe cha kodi wa Vatikan.
 
Wanawapa nguvu TAG kupambana na TEC... wakristu tuamke kuna sarakasi tunanunuliwa na kugawanywa kisa shida za mitume......Mposa amenunuliwaaaa....sasa anataka eneo lile apewe moja kwa moja sio sawaa wengine wakiomba kama yeye watapewa ?? Vita TEC Vs Govt Vs TAG ...wakristu wajingaaaa sanaa kwa hiliii.....wasali sanaa kuepusha utawala wa damu za raia wasio hatiaaa.....Mposa amepitokaaa kanisa linawekwa wakfu sio kuzinduliwa labda ule ukumbi wa mikutano sio kanisa
 
Sidhani kama anasema ukweli, serikali hii ya kujenga vyoo vya shule kwa Tsh 10 Mlln wakasema wemejenga kwa 300 Mlln ndio watoe pesa Tena billions kujenga kabisa la mtu nyeeeee
Unaandika kitu usichokijua, mbona pesa za magoli zilipatikana huku kukiwa na shule za serikali ambazo ni za matope na juu zimeezekwa nyasi? Issue si ukosefu wa pesa, issue ni vipaumbele, kumbuka kuwa sasa kura zote za waumini wa mwamposa atazipata bila hata kampeni.
 
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali,

Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami?

Angalia hii clip Mwamposa akipngea.

Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.

Uongo wa kitoto. Pesa ya serekali itolewe kwenda kujenga tena la aina ya hilo la Mwamposa?
 
Nilitaka kushangaa yaani gharama ya ‘hema’ tu billion 15, kumbe kuna deal za watu kati yake.
Na wanatambua kabisa hakuna wananchi watawafanya; huko shule hazina matundu ya Choo, wanakaa kwenye vumbi tena shule ya msingi Bunge pale posta karibu na Ikulu.

Nchi iliyokosa vipaumbele huwa ni kichekesho tupu.
 
Hahaha hivyo nasi kama taifa tuna hisa?

Basi mwakani tutegemee Gawio kutoka hili shirika lenye ubia na serikali yetu.
 
Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali,

Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami?

Angalia hii clip Mwamposa akipngea.

Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.

Recently, Mwamposa amekua akihudhuria shughuli zote kama mwakilishi wa Wakristo. Hivi ni kweli hapo Dar , jamaa ana ushawishi mkubwa kiasi cha Kutumika kama Kete ya kuwapata Wakristo?
 
Back
Top Bottom