Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

Takataka kabisa hizi , yaani hii regime ya vibaka wa CCM ikiongozwa na bibi chaudere wanatapatapa kuua watu ,kutesa ,kublackmail , kutengeneza propaganda mfu za kiwendawazimu , kutengeneza upinzani feki kwa kutengeneza vyama mfu kama act , Chauma , kununua wapinzani , kufanya kila aina ya upuuzi kwa kodi za wavuja jasho wa nchi hii , na kuna misukule bado inaimba ,"mitano tena " na kidumu chama cha mapinduzi.
Hawa vibaka wamekosa legitimacy kwa wananchi muda mrefu kuongoza hili nchi ,ni vile tu misukule na maiti zinazoitwa wananchi kwenye hili shithole haziko responsible kutake action
 
Back
Top Bottom