Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mwamposa anambughudhi nani wakati naye anamuabudu mungu wake jirani na hao wanaoabudu mungu wao? Kuna upuuzi gani kwenye sentensi ya mwisho? Yaani mwamposa anyamazishwe asimuabudu mungu wake ili kuwapisha hao wenye nguvu wamuabudu mungu wao? Alafu anaibuka mtu anaona mwenzake anaandika upuuziUmeandika upuuzi. Soma sentensi yako ya mwisho.
Unajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe.
Mwamposa huyo Kiongozi wa Serikalini anayekupa hiki Kiburi chote na hizi Jeuri zote atakuponza na labda hujajua au hujui Nguvu ya Kanisa Katoliki ndani ya Taifa hili la Tanzania.
Ulichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.
Mfano kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa inayosikika sasa Waumini wa Kanisa Katoliki Kawe hawatoweza Kusikilizana au hata Ibada kuwa ya Masikilizano.
Lakini pia hata Wakazi wa Kawe nao kwa Usiku huu utawapa Kero ( Noise Pollution ) kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa iliyopo sasa na tunajua hujali kwakuwa Unalindwa na pia Unakula na Wakubwa wanaokupa hii Jeuri uliyonayo.
Namalizia kwa Kukuonya Mwamposa kuwa Cheza na Wote ila siyo Kanisa Katoliki nchini Tanzania na usiwaone wako Kimya kwa huu Uchokozi wako wa Kimakusudi Kwao ambao hukuuanza leo ila jua ya kwamba Ukimya wao una Kishindo Kikubwa kitakachokuwa na Madhara makubwa kwa hii Huduma yako.
Itakua mambo ya kisaikolojia 😆 😆Genta anahangaika Sana na.multiple id,
Sijui ana matatiz gan kichwan uyu mtu, usikute keshatukana mtu tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshindi wa Ban..Hatari sana...mshindi wetu wa sports
Utashi hasi kabisa, watu wanadhani kuwa na mispika yenye kelele ni ufahari, kimsingi unaweza kuhubiri hata bila mispika hiyo na neno likawafikia wenye kulihitaji, maspika hayo ni kero sawa tu na kutiririsha maji taka au mifuko ya plastiki kwa wasiohitajiUlichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.
Akamuulize SuguyeUnajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe.
Mwamposa huyo Kiongozi wa Serikalini anayekupa hiki Kiburi chote na hizi Jeuri zote atakuponza na labda hujajua au hujui Nguvu ya Kanisa Katoliki ndani ya Taifa hili la Tanzania.
Ulichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.
Mfano kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa inayosikika sasa Waumini wa Kanisa Katoliki Kawe hawatoweza Kusikilizana au hata Ibada kuwa ya Masikilizano.
Lakini pia hata Wakazi wa Kawe nao kwa Usiku huu utawapa Kero ( Noise Pollution ) kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa iliyopo sasa na tunajua hujali kwakuwa Unalindwa na pia Unakula na Wakubwa wanaokupa hii Jeuri uliyonayo.
Namalizia kwa Kukuonya Mwamposa kuwa Cheza na Wote ila siyo Kanisa Katoliki nchini Tanzania na usiwaone wako Kimya kwa huu Uchokozi wako wa Kimakusudi Kwao ambao hukuuanza leo ila jua ya kwamba Ukimya wao una Kishindo Kikubwa kitakachokuwa na Madhara makubwa kwa hii Huduma yako.
Uhuru wa kuamini sawa, lakini uhuru wa kuharibu mambo ya watu wengine kwa vipaaza sauti ambavyo vinaleta kutoelewana hana!Nguvu gani hizo ambazo kanisa katoliki linazo kiasi cha kuziwia wengine wasiabudu mungu wao wanavyotaka? Kama wanazo hizo nguvu kwa nini wavumilie tu wanavyoona nao wanavurugiwa ibada yao na mwamposa? Wewe jamaa mwamposa kakukosea nini unachomuandama kila uchao na huduma yake hiyo? Kwanza nchi hii kila mtu ana uhuru wa kuambudu mungu anayemuamini bila kubughudhiwa na yeyote
Angekua mzungu kutoka italia,ungepiga hizi kelele,? Kule kwa Aziz Ali,kuna mzee mmoja aliamua kufunga kipaza sauti juu ya mti nyumbani kwake, ikifika mida ya hadhana ya Waislamu,nae anawasha kipaza sauti chake,amkeni msali wakristo ooooo!Unajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe.
Mwamposa huyo Kiongozi wa Serikalini anayekupa hiki Kiburi chote na hizi Jeuri zote atakuponza na labda hujajua au hujui Nguvu ya Kanisa Katoliki ndani ya Taifa hili la Tanzania.
Ulichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.
Mfano kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa inayosikika sasa Waumini wa Kanisa Katoliki Kawe hawatoweza Kusikilizana au hata Ibada kuwa ya Masikilizano.
Lakini pia hata Wakazi wa Kawe nao kwa Usiku huu utawapa Kero ( Noise Pollution ) kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa iliyopo sasa na tunajua hujali kwakuwa Unalindwa na pia Unakula na Wakubwa wanaokupa hii Jeuri uliyonayo.
Namalizia kwa Kukuonya Mwamposa kuwa Cheza na Wote ila siyo Kanisa Katoliki nchini Tanzania na usiwaone wako Kimya kwa huu Uchokozi wako wa Kimakusudi Kwao ambao hukuuanza leo ila jua ya kwamba Ukimya wao una Kishindo Kikubwa kitakachokuwa na Madhara makubwa kwa hii Huduma yako.
Katoliki amkeniUnajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe.