Mwamposa unachokifanya sasa ni Uchokozi wa Makusudi kwa Kanisa Katoliki Kawe na huu Mkesha wako leo

Mkuu sisi wakatoliki hatunaga tatizo na hawa watoto wakina mwamposa... wao ndo huwa wanatatizo na sisi ila baadae yanawarudia wao. Wamuulize gwajiboy
 
Ila haya maswala kwani watu hawawezi kufanya ibada zao bila hizo vipaza sauti? Hii ni kwa dini zote maana kuna muda inakuwa kelo tu kwa wengine.
 
Umeandika upuuzi. Soma sentensi yako ya mwisho.
sasa mwamposa anambughudhi nani wakati naye anamuabudu mungu wake jirani na hao wanaoabudu mungu wao? Kuna upuuzi gani kwenye sentensi ya mwisho? Yaani mwamposa anyamazishwe asimuabudu mungu wake ili kuwapisha hao wenye nguvu wamuabudu mungu wao? Alafu anaibuka mtu anaona mwenzake anaandika upuuzi
 

nyinyi makatoliki hamna nguvu mnasaidiwa na jeshi bila hivyo mgenyooshwa sana
 
hii ndio nguvu zenu[emoji867][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Zumarid angekuwa anakula na wakubwa kama wafanyavyo wapigaji wenzake asingekaa jela
 
Ulichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.
Utashi hasi kabisa, watu wanadhani kuwa na mispika yenye kelele ni ufahari, kimsingi unaweza kuhubiri hata bila mispika hiyo na neno likawafikia wenye kulihitaji, maspika hayo ni kero sawa tu na kutiririsha maji taka au mifuko ya plastiki kwa wasiohitaji
 
Wakatholic mnamuonea mwamposa.

Misikiti ina laud speakers nchi nzima.. na kuna misikiti ipo jirani na makanisa ya catholic mbona hamuisemi.

Wacatholic Mnawaogopa waislam sababu mnajua hawatakag mambo ya kiseng seng

Waambie waislam kwamba laud speaker za msikiti fulani zinapigia kelele kanisa catholic muone hilo kanisa catholic la jiran litavyofanywa
 
Akamuulize Suguye
 
Anapiga pesa kama Wakatoliki wanavyopiga pesa, shida iko wapi? Dini ni biashara na anajipanua kibiashara. Kanisa Katoliki linaheshimika kwa utajiri wake duniani, nae anataka aheshimike kwa hilo, acheni wivu. Kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Uhuru wa kuamini sawa, lakini uhuru wa kuharibu mambo ya watu wengine kwa vipaaza sauti ambavyo vinaleta kutoelewana hana!
 
Angekua mzungu kutoka italia,ungepiga hizi kelele,? Kule kwa Aziz Ali,kuna mzee mmoja aliamua kufunga kipaza sauti juu ya mti nyumbani kwake, ikifika mida ya hadhana ya Waislamu,nae anawasha kipaza sauti chake,amkeni msali wakristo ooooo!
Wenye dini zao wakasema ni kelele,kisa mkristo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Katoliki amkeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…