Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Red card he was a last defender, penalty alimshika na kumuangusha, ila unaweza kata rufaa kwa niaba yao
 
Makolo ,tuliwaambia hakuna mhindi anayetoa hela bure bure ...lazima akuache hovyo....sasa mwamedi kawaacha kama mayatima...sheenzy
 
Bi mkubwa alikuwa sahihi sana, maana anatazama mpira yanga anamiliki mpira zaidi ya dk 5 Peke yake bila kugusa pasi Hadi 70 peke yake bi mkubwa lazima ajue/aone ni uonevu wa Hali ya juu
 
Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi
Kwenye red kadi ilitolewa pigo la kawaida na hakukuwa na penalty.Kwenye penalty,Mayele alivutwa alipotaka kupiga acrobatic.Penalty Ni kwakuwa kavutwa na siyo kuunawa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…