Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Red card he was a last defender, penalty alimshika na kumuangusha, ila unaweza kata rufaa kwa niaba yao
 
Kanye mavi ww ukalale.. Yanga mwaka huu mpira upon na tunaupiga mwingi.. Bac tufanye goli la penati tunawapa nyie Makolo..
Mtateseka sana mwaka huu.. Hili kombe si la mama enu kana kwamba kila mwaka mchukuwe nyinyi tu.. Tunaanza mwaka huu na inabid msubir ndani ya miaka 5 ndo tunaweza kuwaach
Makolo ,tuliwaambia hakuna mhindi anayetoa hela bure bure ...lazima akuache hovyo....sasa mwamedi kawaacha kama mayatima...sheenzy
 
Yani nilikuwa zangu mishe narudi nakuta bi mkubwa anaangalia hiyo mechi na ni mshabiki wa Yanga ila akaniambia "huyu kocha anatupendelea nawaonea huruma hawa Ruvu" nikamwambia "sio kocha ni refa".


Nikajisemea tu kama bi mkubwa kaona kuna upendeleo na sio mfuatiliaji sana basi itakuwa kuna walakini. Kumbe sio yeye tu alieona bana.
Bi mkubwa alikuwa sahihi sana, maana anatazama mpira yanga anamiliki mpira zaidi ya dk 5 Peke yake bila kugusa pasi Hadi 70 peke yake bi mkubwa lazima ajue/aone ni uonevu wa Hali ya juu
 
Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi
Kwenye red kadi ilitolewa pigo la kawaida na hakukuwa na penalty.Kwenye penalty,Mayele alivutwa alipotaka kupiga acrobatic.Penalty Ni kwakuwa kavutwa na siyo kuunawa mpira.
 
Back
Top Bottom