ama kweli wewe n mjinga simba ameibebaje yanga wakati yanga alibeba ligi kuu. au hujui hua wanaendaje simba alijibeba mwenyewe keki weweNa bado SIO GOLI.ila wanataka wapewe.aibu gani hii kwa nchi.haya yote kayataka simba kuwabeba na kuwapeleka hyko
Uko sahihi kwa 100%.Kama kulikuwa na OFFSIDE, mpira unawekwa chini na kupigwa. Kwanini alipewa golikipa na akaupiga kama vile aliudaka? Au wewe mwenzetu uliona mpira ukipigwa kuashiria OFFSIDE?? Hakumpa kipa kweli?
Akili sina mimi au wewe matako meusi!?Mbona huna akili
Kwa hiyo Kama ni wa SA so what ?
Sasa mmebomolewa nyieπ€£π€£π€£.Angaliaga press za Morinyo kabla ya big mech kuna kitu utajifunza ....hiyo ni mbinu ya mchezo tunakujaza ukijaa unabomolewa
Ahaa kumbe hapakuwa na GOAL.ila mmekazana kudai goli.Hujitambui wacha nikupe somo la mwisho ili uelewe kesha nitaku block maana sibishani na mafala.
1)Kama ni offside refa angeonesha ishara ya mpira kuwekwa pale ilipotokea offside.Refa kuwasiliana na VAR alitaka kuhakiki uhalali wa goli na ndio maana akatoa ishara ya "no goal"baada ya kuwasiliana na VAR.
2)Hakukua na offside kwasababu Aziz Ki alipiga mpira direct na baada ya hapo hakuna mchezaji yeyote wa Yanga aliyenufaika na ule mpira baada ya kurudi uwanjani.
Nahisi nabishana na kijana wa balehe ngojea niku ignore tu.
Kwani Offside huwa inapigwaje??Ulitaka kipa apige vipi ndo ujue ilikuwa offside?
Shida una mihemko na utoto MWINGI.jenga hoja achana na matusi.Akili sina mimi au wewe matako meusi!?
We huoni kila mtu kaona kuwa lile ni goli?
Pia nimemjibu huyo matako mwenzako anayedai kuwa wa uwanjani wameona sio goli na mimi ndio nimemletea wa uwanjani wanaodai kuwa ni goli hao hapo.
Sio kweli huu ni uzushi kusema kwake ni mpk afungiweKwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)
Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...
Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.
Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katΔ«ka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..
Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...
View attachment 2956306
CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..
View attachment 2956309
View attachment 2956310
View attachment 2956311
View attachment 2956312View attachment 2956313
Kama alivyopiga kipa wa mamelodi. Na kama angekuwa nje ya box angeweka mpira chiniKwani Offside huwa inapigwaje??
Kajichanga sehemu moja.Mbona amesema vizuri wala hajajichanganya.
Kuhusu suala la Lomalisa aliitwa kwa sababu walikuwa na wasiwasi na maamuzi aliyotoa.
Kuhusu goli la Azizi amesema haikuwa ngumu kuamua( haikuwa tight) kwa var, walimwambia siyo goli
Dooh. Injinia hersi ana mashabiki mizigo sana.ndo maana sishangai kuwaona mkikimbizana mitandaoni kutukana watu.ama kweli wewe n mjinga simba ameibebaje yanga wakati yanga alibeba ligi kuu. au hujui hua wanaendaje simba alijibeba mwenyewe keki wewe
πππππHasira zitaishaje bila hivyo sasa? Ningejua hili tokea jana ingenisaidia sana.
Hata mi nashangaa yaani kaganda uwanjani utafikiri Luba.Hivi ina maana mwamuzi mwenyewe haruhusiwi kwenda kwenye VAR room bila kuitwa?
Manara Huwa Sio mzima Kumbe ni Fake Account?Fake account na wewe unamuamini yule kichaa manara
Yaani watanzania rahisi sana kuwa manipulated kwenye mitandao
Si kaeleza vizuri tu pale kwenye maelezo yake.......soma tena..Goli lilifungwa dakika ya 57, maamuzi kaja kuyafanya dakika ya 62. Muda wote huo wa dakika 5 mpira ulikuwa umesimama. Je, hakuona sababu ya yeye mwamuzi wa kati kwenda kuangalia mwenyewe kwenye VAR wakati ilikuwepo just pale pembeni ya Uwanja? Yaani dakika 5 zinazopelekea mpira kusimama rega hauni ulazima, udadisi wala umuhimu wa kushuhudia tukio hilo?
Mbaya zaidi, mpira ule uliporudi uwanjani ulitolewa nje na mchezaji wa Mamelody Sundowns, lakini mwamuzi alipokataa goli na kuamuru mpira uendelee aliwapa Mamelody wauanzishe badala ya kuamuru Yanga wapige kona.
By the way, Hongera sana DR Mambo Jambo Kwa kulishikia kidedea swala hili na kuleta updates kwa kila hatua na kwa kila kinachojili. Ingawa wewe ni upande ule mwingine.
Saludo!
Mi Pia nimeanza kuhisi Manara Katuchezea na kaharibu Funga yake pia π€£π€£π€£Watanzania wapumbavu sana hawana hata reasoning..Refa mkubwa kama huyo ametoka kuchezesha Fainal ya Afcon Ivor coast vs Nigeria account yake ya IG iwe na followers 1.6Kππππ..
Mwamuzi achati kama hvoπππ..
hii nchi inahitaji ipigwe msasa sana raia wake bado wapo gizani..pumbafu
Usiseme wabongo........sema WananchiAwaulize DP World wanajua balaa la wabongo kwenye social media.
Wabongo kwa media tupo juu sana, DP World walikua wanatukanwa hadi youtube kwenye channel yao
Al ahaly 3 vs Simba 0Sasa mmebomolewa nyieπ€£π€£π€£.
Manara ajengewe sanamu posta.yaani kusema hatufiki fainali ni mbinu ya mchezo?kweli kuwa utopolo ni laana