Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Na bado SIO GOLI.ila wanataka wapewe.aibu gani hii kwa nchi.haya yote kayataka simba kuwabeba na kuwapeleka hyko
ama kweli wewe n mjinga simba ameibebaje yanga wakati yanga alibeba ligi kuu. au hujui hua wanaendaje simba alijibeba mwenyewe keki wewe
 
Kama kulikuwa na OFFSIDE, mpira unawekwa chini na kupigwa. Kwanini alipewa golikipa na akaupiga kama vile aliudaka? Au wewe mwenzetu uliona mpira ukipigwa kuashiria OFFSIDE?? Hakumpa kipa kweli?
Uko sahihi kwa 100%.
Kama ilikuwa ni offside, mpira ulipaswa kutengwa chini na kupigwa. Lakini refa hakufanya hivyo bali aliudondosha mbele ya kipa ili uendelee.

Binafsi nadhani refa alichanganyikiwa, baada ya VAR room referees kumpa amri ya kuachana na mpango wake wa kutaka kureview goal!
 
Mbona huna akili

Kwa hiyo Kama ni wa SA so what ?
Akili sina mimi au wewe matako meusi!?
We huoni kila mtu kaona kuwa lile ni goli?
Pia nimemjibu huyo matako mwenzako anayedai kuwa wa uwanjani wameona sio goli na mimi ndio nimemletea wa uwanjani wanaodai kuwa ni goli hao hapo.
 
Angaliaga press za Morinyo kabla ya big mech kuna kitu utajifunza ....hiyo ni mbinu ya mchezo tunakujaza ukijaa unabomolewa
Sasa mmebomolewa nyie🤣🤣🤣.
Manara ajengewe sanamu posta.yaani kusema hatufiki fainali ni mbinu ya mchezo?kweli kuwa utopolo ni laana
 
Hujitambui wacha nikupe somo la mwisho ili uelewe kesha nitaku block maana sibishani na mafala.
1)Kama ni offside refa angeonesha ishara ya mpira kuwekwa pale ilipotokea offside.Refa kuwasiliana na VAR alitaka kuhakiki uhalali wa goli na ndio maana akatoa ishara ya "no goal"baada ya kuwasiliana na VAR.
2)Hakukua na offside kwasababu Aziz Ki alipiga mpira direct na baada ya hapo hakuna mchezaji yeyote wa Yanga aliyenufaika na ule mpira baada ya kurudi uwanjani.

Nahisi nabishana na kijana wa balehe ngojea niku ignore tu.
Ahaa kumbe hapakuwa na GOAL.ila mmekazana kudai goli.
 
Akili sina mimi au wewe matako meusi!?
We huoni kila mtu kaona kuwa lile ni goli?
Pia nimemjibu huyo matako mwenzako anayedai kuwa wa uwanjani wameona sio goli na mimi ndio nimemletea wa uwanjani wanaodai kuwa ni goli hao hapo.
Shida una mihemko na utoto MWINGI.jenga hoja achana na matusi.
 
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)

Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...

Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.

Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katīka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..


Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...

View attachment 2956306


CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..

View attachment 2956309
View attachment 2956310
View attachment 2956311
View attachment 2956312View attachment 2956313
Sio kweli huu ni uzushi kusema kwake ni mpk afungiwe
 
Mbona amesema vizuri wala hajajichanganya.
Kuhusu suala la Lomalisa aliitwa kwa sababu walikuwa na wasiwasi na maamuzi aliyotoa.
Kuhusu goli la Azizi amesema haikuwa ngumu kuamua( haikuwa tight) kwa var, walimwambia siyo goli
Kajichanga sehemu moja.
Kama foul ya Lomalissa ilikua hawakuridhika na maamuzi mpaka wakamwambia aende akajiridhishe mbona alienda na kusema kuwa ni sahihi??
Kwa nini katika goli hakuenda kutizama kama kuna utata ajiridhishe kama ilivyo kwa foul?
Muamuzi wa kati ni sahihi yeye kuamua directly kwa kusikiliza VAR??
 
Watanzania wapumbavu sana hawana hata reasoning..Refa mkubwa kama huyo ametoka kuchezesha Fainal ya Afcon Ivor coast vs Nigeria account yake ya IG iwe na followers 1.6K yani nimemzidi hadi mim nna 7.4K😁😁😁😁..
Mwamuzi achati kama hvo😁😁😁..
Mnazijua Ethics za Professional referees kuhusu kukaa mbali na kutokumilik account za social media..
Ndo mana yanatapeliwa
hii nchi inahitaji ipigwe msasa sana raia wake bado wapo gizani...Pumbavu
 
ama kweli wewe n mjinga simba ameibebaje yanga wakati yanga alibeba ligi kuu. au hujui hua wanaendaje simba alijibeba mwenyewe keki wewe
Dooh. Injinia hersi ana mashabiki mizigo sana.ndo maana sishangai kuwaona mkikimbizana mitandaoni kutukana watu.
OK club bingwa africa na shirikisho tanzania ilikua inatoa timu mbili.
Baada ya simba kufanya vizuri caf points zikaongezeka tukawa tuna peleka timu 4.
Sawa utopolo?
 
Goli lilifungwa dakika ya 57, maamuzi kaja kuyafanya dakika ya 62. Muda wote huo wa dakika 5 mpira ulikuwa umesimama. Je, hakuona sababu ya yeye mwamuzi wa kati kwenda kuangalia mwenyewe kwenye VAR wakati ilikuwepo just pale pembeni ya Uwanja? Yaani dakika 5 zinazopelekea mpira kusimama rega hauni ulazima, udadisi wala umuhimu wa kushuhudia tukio hilo?
Mbaya zaidi, mpira ule uliporudi uwanjani ulitolewa nje na mchezaji wa Mamelody Sundowns, lakini mwamuzi alipokataa goli na kuamuru mpira uendelee aliwapa Mamelody wauanzishe badala ya kuamuru Yanga wapige kona.

By the way, Hongera sana DR Mambo Jambo Kwa kulishikia kidedea swala hili na kuleta updates kwa kila hatua na kwa kila kinachojili. Ingawa wewe ni upande ule mwingine.

Saludo!
Si kaeleza vizuri tu pale kwenye maelezo yake.......soma tena..
 
Watanzania wapumbavu sana hawana hata reasoning..Refa mkubwa kama huyo ametoka kuchezesha Fainal ya Afcon Ivor coast vs Nigeria account yake ya IG iwe na followers 1.6K😁😁😁😁..
Mwamuzi achati kama hvo😁😁😁..
hii nchi inahitaji ipigwe msasa sana raia wake bado wapo gizani..pumbafu
Mi Pia nimeanza kuhisi Manara Katuchezea na kaharibu Funga yake pia 🤣🤣🤣
Anadanganya na Ramadhani hiu
 
Awaulize DP World wanajua balaa la wabongo kwenye social media.

Wabongo kwa media tupo juu sana, DP World walikua wanatukanwa hadi youtube kwenye channel yao
Usiseme wabongo........sema Wananchi
😀 😀
 
Kumamake naenda kuongeza nguvu ya kumtukana hadi afunge page yake
 
Back
Top Bottom