Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)

Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...

Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.

Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katīka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..


Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...

View attachment 2956306


CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..

View attachment 2956309
View attachment 2956310
View attachment 2956311
View attachment 2956312View attachment 2956313
Hivi Watanzania wanajua implication ya Abusive Language mitandaoni?

Au wanaropoka tu.

Inaweza ku Backfire kwa Yanga mi nawashtua tu.
 
Uko sahihi kwa 100%.
Kama ilikuwa ni offside, mpira ulipaswa kutengwa chini na kupigwa. Lakini refa hakufanya hivyo bali aliudondosha mbele ya kipa ili uendelee.

Binafsi nadhani refa alichanganyikiwa, baada ya VAR room referees kumpa amri ya kuachana na mpango wake wa kutaka kureview goal!
CC mjingamimi
 
Na bado SIO GOLI.ila wanataka wapewe.aibu gani hii kwa nchi.haya yote kayataka simba kuwabeba na kuwapeleka hyko
lini simba kambeba yanga
ama hufahamu kwenye robo hii ni simba pekee ndo hakuwa mshindi wa nchi yake wengine wote walikuwa mabingwa

una anzaje kumbeba bingwa
 
Kwa nini ile offside 🐸🐸hawaizungumzii?

Ukiangalia vizuri video inaonesha wazi kuwa Aziz ki alikuwa ameotea.

Mwakarobo juniors watulie tu wametolewa kihalali kabisa
Kheee..!!! We sasa ndo hujui kabisaaa..!! ule msitu wa wachezaji wa masandawana uliomzunguka Aziz Ki leo uje useme alikuwa offside..!! Kweli mahaba huleta upofu
 
Back
Top Bottom